We have 156 guests and no members online

Znateli

Siku Ya Wanafamilia Wa NBC Ilivyofana Jijini Dar es SalaamMkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (katikati) akizungumza na wafanyakazi na familia zao katika sherehe za Siku ya Wanafamilia ya benki hiyo jijini Dar es Salaam juzi. Wengine ni viongozi wa ngazi za juu wa benki hiyo.
Siku Ya Wanafamilia Wa NBC Ilivyofana Jijini Dar es SalaamMkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuruakiwania mpira pamoja na mfanyakazi wa benki...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 00:37
Cheka Na Chimwemwe Kukutana Tena Addis Ababa
                                      

                TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ka...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 01:14
Kipanya Leo...!...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 01:26
Lulu Sasa Abadilishiwa Mashtaka

 MSANII Elizabeth Michael, maarufu kama Lulu, ameepuka adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kumuua msanii mwenzake, Steven Kanumba baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), kumbadilishia mashtaka, ambapo sasa anatuhumiwa kuua bila kukusudia.

Kutokana na mabadiliko hayo, Lulu ameepuka adhabu hiyo kwani hata kama atapatikana na hatia,...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 01:43
Mgogoro Waitikisa Chadema
 Katibu Mkuu wa Chadema, Dk WilIbrod Slaa (Kulia) akiwa na makada wa chama hicho ambao majina yao hayakupatikana, wakiandaa taarifa kabla ya kuanza kwa siku ya pili ya kikao cha Kamati Kuu jana, Dar es Salaam. Picha na Venance Nestory
 
Na:  Joseph Zablon na Mussa Juma,Arusha
MGOGORO mkubwa unakinyemelea Chama cha Demokrasia na
...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 01:51
Simbachawene Aishangaa Tanesco Kununua Nguzo Nje Ya Nchi

Simbachawene: Deputy Minister for Energy and Minerals, Simbachawene (kushoto ), MP Menrad Kigola, Mufindi South (center), Executive Director Sheda General Supplies Ltd. Awadhi Shedaffa (kulia )
Simbachawene Aishangaa Tanesco Kununua Nguzo Nje Ya Nchi

 Manger Poles, Timber Impregnation and Charcoal, John Njenga (kushoto ), DM Simbachawene (center), District Commissioner Mufindi, Evarista...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 01:59
Count Your Courage Instead Of Your Fears
KalengaIringa....
Posted On Tuesday, 18 December 2012 02:53
<!--[if gte mso 10]> /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-priority:99; mso-style-qformat:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in;...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 03:01
Chris Lukosi; Kwa nini Nimeondoka Chadema...
Leo hii nimeamua rasmi kurudi CCM, chama ambacho nimekifahamu kwa miaka 35 sasa.

  Nilijiunga na Chadema kwa matumaini niliyokuwa nayo kuwa ni chama kitakachomkomboa Mtanzania kutoka kwenye umasikini na kumfikisha kwenye level sawa na watu wa mataifa mengine kama Botswana , Namibia au hata baadhi ya nchi za Ulaya.

Niliamua haya baada ya...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 03:12
Mkutano Wa Waandishi Wa Habari CHADEMA,Maazimio Ya Kamati Kuu
 Mh.Freeman Mbowe,Mwenyeketi wa CHADEMA Taifa
Mkutano Wa Waandishi Wa Habari CHADEMA,Maazimio Ya Kamati Kuu
 Dr.Wilbrod Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA
Mkutano Wa Waandishi Wa Habari CHADEMA,Maazimio Ya Kamati Kuu
 Viongozi wa CHADEMA Taifa
Mkutano Wa Waandishi Wa Habari CHADEMA,Maazimio Ya Kamati Kuu
 Baadhi ya waandishi

Mkutano na waandishi habari unaendelea.mh.Mbowe anaongea.
1.KIKAO cha kamati kuu kilikuwa cha kawaida ,hakuna jambo la dharula
2.Mchakato wa katiba mpya usiathiri mabadiliko ya sheria nyingine kama...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 03:34
Unique Model Kuanzia Lamada Hotel
Washiriki wanaowania taji la mwanamitindo mwenye sifa za kipekee Unique model 2012 wanatarajiwa kuanza mazoezi ya miondoko ya kimaonyesho alhamisi hii katika hoteli ya Lamada iliyopo jijini Dar. Jumla ya washiriki kumi na mbili wataanza mazoezi hayo kwa nia ya kujifua kimazoezi ya kutembea miondoko ya kimaonyesho na dansi ili kuukabili mchuano...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 04:18
Chipolopolo Kuwasili Kesho

<!--[if gte mso 10]> /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-priority:99; mso-style-qformat:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 04:59
Cheka Na Chimwemwe Kuumana Ethiopia
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
DECEMBER 18, 2012

Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Nchini (TPBC) tayari imemtafutia bondia Francis Cheka mpambano wa marudiano kati yake na bondia Chiotra Chimwemwe wa Malawi katika jiji la Addis Ababa, Ehtiopia.

Mpambano huo utafayika January 26, siku ya ufunguzi wa mkutano wa wakuu wa nchi za Africa (AU Summit) katika...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 05:15
Mwanamke Dereva Wa Basi La Shabiby


 
NUSRA Maguluko (28) ni msichana jasiri na anayependa kujaribu na kupata mafanikio ya majaribio yake bila woga wala kujali ni aina gani ya kazi anayotakiwa kufanya yeye kama mwanamke na ipi asiyostahili kufanya yeye kama mwanamke.
Ni ujasiri wake hasa ndiyo ulimuwezesha kumfikisha hatua aliyonayo kwa
...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 05:37

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu