We have 277 guests and no members online

media

Waziri wa mambo ya nje wa Italia Angelino Alfano akizungumza wakati wa mkutano wa nchi za G7. April 11, 2017.

Posted On Wednesday, 12 April 2017 05:05

IMG_20170411_133956

Mkurugenzi  mkuu  wa TANAPA  Dkt Allan  Kijazi  akichangia  mada  kuhusu  uhifadhi wa  mto  Ruaha mkuu

Posted On Wednesday, 12 April 2017 04:58

V

 Waziri wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.

Posted On Wednesday, 12 April 2017 04:57

unnamed

 Naibu Waziri wa Kilimo Uvuvi na Ufugaji Mhe. William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tano cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.

Posted On Wednesday, 12 April 2017 04:56

A

 Mkurugenzi wa Ikolo Investment Ltd Magidd Mjengwa akizungumza wakati wa Kongamano la Diaspora kujadili kuhusu nafasi yao katika kukuza uchumi wa Tanzania.Kulia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Diaspora Tanzania Mwinyimkuu Khatibu.

A 1

 Mwenyekiti wa Jukwaa la Diaspora Tanzania Mwinyimkuu Khatibu akizungumza wakati wa Kongamano la Diaspora kujadili kuhusu nafasi yao katika kukuza uchumi wa Tanzania.Kushoto ni Mkurugenzi wa Ikolo Investment Ltd Magidd Mjengwa

Posted On Wednesday, 12 April 2017 04:54

A

Waziri wa fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa TPSF Dkt. Reginald Mengi pamoja na makamu mwenyekiti TPSF Mr. Salum Shamte.

Posted On Wednesday, 12 April 2017 04:49

media

Wanasiasa wa upinzani nchini Kenya kuanzia kushoto Kalonzo Musyoka, Musalia Mudavadi, Raila Odinga na Moses Wetangula

Posted On Tuesday, 11 April 2017 04:28

MWIGU1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, bungeni mjini Dodoma Aprili 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Posted On Tuesday, 11 April 2017 04:26

IMG_5359

 Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa ukumbi wa mikutano Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) jijini Dar es Salaam  kupata taarifa ya mfumuko huo wa bei kwa mwezi Machi.

Posted On Tuesday, 11 April 2017 04:25

2

NA HAMZA TEMBA – WMU

Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe ametangaza mabadiliko makubwa katika biashara ya mkaa nchini na kusema kuwa kuanzia mwezi Julai mwaka huu hakuna mkaa wowote utakaosafirishwa kutoka wilaya moja kwenda nyingine ili kunusuru misitu inayoteketea kwa kasi hapa nchini.

Posted On Tuesday, 11 April 2017 04:18

A

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akizungumza na Ujumbe kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, pale walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Katika ni Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, Ndg. Kym McCarty na anaefuata ni Meneja wa Taasisi Shirikishi za kidemokrasia Ndg. Issifu Lampo (kulia).

Posted On Tuesday, 11 April 2017 04:15

Picha ya Maggid Mjengwa

Kuanzia saa mbili na nusu asubuhi.

Hakuna Kiingilio.
Maggid.

Posted On Tuesday, 11 April 2017 04:13

Picha ya Maggid Mjengwa

Leo Jumanne April 11.
Ukumbi Wa Makumbusho ya Taifa, Mkabala Na IFM.
Hakuna Kiingilio.
Wote Mnakaribishwa!

Posted On Tuesday, 11 April 2017 04:12

kigwa

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsi Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Hamis kigwangalla akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.

Posted On Monday, 10 April 2017 14:05
Page 7 of 1959

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi