We have 116 guests and no members online

Znateli

1

From left is Political Officer Delegation of the European Union Tom Vens, Rear Admiral Commander Task Force 465 Jürgen zur Mühlen , and the Chargé d´Affaires a.i. Hans Koeppel of the German Embassy in press conference for the role of EUNAVFOR, its cooperation with Tanzania and the recently signed European Union-Tanzania Transfer Agreement which allows to trial pirates, who are captured by European naval forces, in Tanzanians courts.

2

The Chargé d´Affaires a.i. Hans Koeppel from Embassy of Federal Republic of Germany welcomed the visit of the flagship as “an important sign of the common fight against piracy along the coast of the Indian Ocean”. He also talk about the aim of Task Force to fight against pirates with the countries bordering the coast of Indian Ocean including Tanzania.

3

Political Officer Delegation of European Union Tom Vens discuss about Europe day and Europe day , He also talk about the European Task Force that help security situation in the Earth lastly he discuss about good relationship between European Union and East African Community and Good Political relationship Between European Union and Tanzania.

Posted On Sunday, 11 May 2014 16:42

http://mkulimambunifu.org/wp-content/uploads/2013/03/Alizeti-1.jpg

Zao la alizeti ikiwa shambani

WAKULIMA wa alizeti na karanga katika wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma wameliomba Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO) Mkoani hapa kutengeneza mashine za kupepeta mazao ya shambani.

Posted On Saturday, 10 May 2014 05:39

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/u/0/?view=att&th=145da408bbec49e6&attid=0.5&disp=inline&realattid=d284d7962a0e72f8_0.5&safe=1&zw&saduie=AG9B_P8d76iqYSkyIl6GfJbE8oEh&sadet=1399617080077&sads=-qGrtqzNlHEPBICThyV8uroJRbk

Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Eng. Gerson Lwenge akifafanua jambo wakati wa kikao cha Kamati ya Miundombinu kujadili bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka 2014/15.

 

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/u/0/?view=att&th=145da408bbec49e6&attid=0.6&disp=inline&realattid=d284d7962a0e72f8_0.6&safe=1&zw&saduie=AG9B_P8d76iqYSkyIl6GfJbE8oEh&sadet=1399617144271&sads=jkO7HbbMsfWjC_LMft8xuLTzDVY

Baadhi ya Wakurugenzi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Wizara ya Ujenzi wakiwa katika kikao cha kujadili bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2014/15.

KAMATI YA BUNGE YAPITISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI 

Kamati ya Miundombinu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mapema wiki hii ilikutana na Watendaji wa Wizara ya Ujenzi kwa ajili ya kupitia maepndekezo ya bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.

Posted On Friday, 09 May 2014 06:23

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/u/0/?view=att&th=145db44336ceaf48&attid=0.1&disp=inline&realattid=f_huxsxlmn0&safe=1&zw&saduie=AG9B_P8d76iqYSkyIl6GfJbE8oEh&sadet=1399612066633&sads=07KgfVLO7jdxF2e494LSA66Gx3k

President Dr, Jakaya Mrisho Kikwete attends a High Level Meeting on the African Strategic Infrastructure Initiative in Abuja, Nigeria, on May 8, 2014. To his right are host President Goodluck Jonathan and H.E. Macky Sall, the President of Senegal.

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/u/0/?view=att&th=145db44336ceaf48&attid=0.5&disp=inline&realattid=f_huxsydu84&safe=1&zw&saduie=AG9B_P8d76iqYSkyIl6GfJbE8oEh&sadet=1399612301508&sads=p7SRYYa1MEfRlUcrhfdzKKWylRo

World Economic Forum Founder and Chairman Prof. Klaus Shwab pins a WEF pin on President Dr Jakaya Mrisho Kikwete in the sidelines of  the World Economic Forum in Abuja.

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/u/0/?view=att&th=145db44336ceaf48&attid=0.4&disp=inline&realattid=f_huxsydu03&safe=1&zw&saduie=AG9B_P8d76iqYSkyIl6GfJbE8oEh&sadet=1399612505739&sads=j9CTRKa-ZWoz-LLR2Y5MfjGLKYc

World Economic Forum Founder and Chairman Prof. Klaus Shwab speaks at the closing Plenary session of the Growth Africa Investment Forum at the World Economic Forum in Abuja. Listerning  from left arePresident Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Hon Daniel Kablan Duncan, the Prime Minister of Ivory Coast, President Goodluck Jonathan of Nigeria, Ms Amina Mohamed from the UN in charge of the Post-2015 goals initiative, President of Rwanda Hon. Paul Kagame, the Deputy Chairperson of the African Unity Hon. Erastus Mwacha, and the USAID Administrator, Dr Rajiv Shah. (STATE HOUSE PHOTOS)(FS)

 

Posted On Friday, 09 May 2014 05:04

20140508_083113_861a1.jpg

20140508_083532_bd904.jpg

 

20140508_083715_7baf6.jpg

20140508_084111_d9688.jpg

Leo nilitembelea soko kuu la Samaki maarufu kwa jina la Ferry maeneo ya Posta na kujionea hali ilivyo kuanzia hatua ya uvuvi waSamaki mpaka hatua ya uchuuzi wa samaki hao kama inavyoonekana katika picha leo hasubuhi.(Awadh Ibrahim wa Mjengwa blog).

Posted On Thursday, 08 May 2014 07:16

We have, this afternoon (yesterday), at the sidelines of the UK-Uganda Business Forum, signed a memorandum of understanding with London-based Hinduja Group of companies for a strategic relationship to explore cooperation with the group in the automotive sector with a focus on commercial vehicles. The group will also facilitate investment in agriculture and farm products in Uganda.(FS)

Posted On Thursday, 08 May 2014 03:59

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo na  Waziri wa Fedha, Saada Mkuya kwenye mkutano wa wabunge ambapo waziri wa fedha aliwasilisha mapendekezo na mwelekeo wa bajeti ya serikali  kwa mwaka fedha 2014/15, Dar es Salaam jana. Picha na Salim Shao

Dar es Salaam. Serikali imetoa mwelekeo wa Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni Sh19.6 trilioni, ikilinganishwa na Sh18.2 za Bajeti iliyopita.

Posted On Thursday, 01 May 2014 05:05

Dar es Salaam. Bajeti inayotarajiwa kuwasilishwa hivi karibuni bungeni Dodoma haitakuwa na manufaa yoyote kwa Watazania, iwapo Serikali haitakuwa tayari kupunguza nakisi inayotokana na matumizi makubwa yasiyokuwa ya lazima.

Akizungumza baada ya uzinduzi wa Ripoti ya Ukuaji wa Kiuchumi kwa nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara iliyotolewa na Repoa, Mtaalamu wa Uchumi, Profesa Ibrahim Lipumba alisema tatizo lililopo kwa sasa ni matumizi makubwa ya Serikali kwa mambo yasiyo ya lazima, huku ikiwa na mapato madogo.

Posted On Wednesday, 30 April 2014 05:04

20140425_094805_3e3b6.jpg

Tunategemea baada ya kukamilika kwa mladi wa Barabara za Magari yaendayo kwa kasi hadha ya foreni ambayo ni tatizo kubwa katika Jiji la Dar es salaam itapungua au itakwisha kabisa kwani wakazi wa Dar es salaam wamekuwa na matumaini makubwa hasa kutokana na mladi huo kuwa na spidi kali kama inavyoonekana katika picha leo mchana.(AWADH IBRAHIM)

 

Posted On Friday, 25 April 2014 11:57

20140425_084937_f816d.jpg

20140425_084947_c9cd1.jpg

Hapa ndipo Ndizi kutoka kila mkuo wa Tanzania hushwa kwa ajili ya kusambazwa kila pembe ya Dar es Salaam eneo la Mabibo maarufu kwa jina la Mahakama ya Ndizi ,Lakini hadha kubwa wanayoipata wafanyabiashara wa Ndizi katika soko hili ni kutokuwa na mazingira bola ya kufanyia kazi ikizingatiwa kwamba ndizi ni chakula kama vilivyo vyakula vingine, Kwani soko hilo limejaa matope ambayo yamefikia hatua ya kutoa funza. 

Wafanyabiashara katika soko hili wanasema hutoa ushuru wa shilingi elfu kumi na tano kila siku lakini wahusika wanashindwa kuwapatia mazingila bora ya kufanyia biashara.

Hizi ni baadhi tu ya picha zikionyesha muonekano wa soko hilo kwa ndani leo tarehe 25 mwezi wa 4 mwaka 2104.(AWADH IBRAHIM)

Posted On Friday, 25 April 2014 11:19

tan2165_47fb7.jpg

tan111_18bbf.jpg

tan9026_3aaa6.jpg

Katika kitu kikubwa ilichokifanya na Selikali ya awamu ya nne inayoongozwa na Jakaya Mrisho Kikwete ni kujenga na kuboresha miundombinu hususan barabara nchini.

Na hii ni mmoja kati ya mifano mingi ya miradi inayoendelea hapa nchini,tunategemea baada ya miaka kumi ijayo nchi yetu itakuwa na barabara za rami mpaka vijijini. (PICHA NA AWADH IBRAHIM).

Posted On Thursday, 24 April 2014 13:49

Bwawa la Mkungugu katika Tarafa ya Isimani linalotumika kwa umwagiliaji, uvuvi na shughuli nyingine za kijamii.

Na Daniel Mbega, Iringa

CHESCO Mlomo (46), mkazi wa Kijiji cha Mkungugu katika Tarafa ya Isimani wilayani Iringa, anaamini wimbi la njaa litapungua katika familia yake na hata za wakazi wengine wa kijiji hicho.

Ukame ambao umelikumba eneo lote la Isimani kwa miaka zaidi ya 20 umesababisha mazao kushindwa kustawi vizuri hata wakati huu masika kutokana na mabadiliko ya tabia nchi yanayotokana na athari za mazingira.

Wakati wa kiangazi, ambao huwa na shida kubwa ya upatikanaji hata wa maji ya kunywa, sasa hatakuwa na muda wa kupoteza bure, badala yake atajitahidi kufanya shughuli za kilimo chenye mafanikio.

Hii inatokana na kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la umwagiliaji la Mkungugu ambalo, anasema, limeanza kuwa mkombozi kwa wananchi wa maeneo hayo na vijiji jirani vya Kata ya Kising'a, katika Tarafa hiyo ya Ismani wilayani Iringa.

"Mvua zimechelewa, kama ilivyo kawaida, na mazao hayakustawi vizuri tofauti na maeneo mengine ya mkoa wa Iringa. Ardhi yetu imekuwa kame na nyakati za kiangazi hali ilikuwa mbaya zaidi kwa kukosa hata maji ya kunywa, sasa tuna uhakika wa maji, kwa sababu bwawa hili ni kubwa na linaweza kuhifadhi maji ya kutosha," anasema huku akiangalia bwawa hilo lililojaa maji wakati huu wa masika.

SKIMU ZA UMWAGILIAJI KUONDOA NJAA IRINGA

(MNYAMA)

Posted On Wednesday, 16 April 2014 05:23
Page 10 of 29

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart