We have 377 guests and no members online

Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima nchini (TIRA), imezindua waraka Na. 055/2017 ambao unahusu masharti ya kufanya biashara na makampuni ya bima mtawanyo na madalali wa bima mtawanyo kutoka nje ya nchi ambao utaanza kutumika tarehe 01 Januari, 2018.

Posted On Monday, 11 December 2017 16:15

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto aweka historia kwa kutembelea Zahanati ya Mhandu kata  ya Chela Wilayani Msalala ambapo tangu Uhuru wa Tanzania kijiji hicho hakijawahi kutembekewa na Kiongozi wa Kitaifa.

Posted On Monday, 11 December 2017 16:14

0media

Kiongozi mkuu wa muungano wa upinzani NASA, Raila Odinga,Novemba 28, 2017.

Posted On Monday, 11 December 2017 06:40

Wizara ya Fedha na Mipango Fungu Hamsini (Vote 50)linalohusika na masuala ya utawala, limeibuka kinara kwa kupata tuzo ya mshindi wa kwanza katika utoaji wa Taarifa bora ya fedha kwa mwaka 2016 katika kundi la Wizara na Idara za Serikali inayoandaliwa na Bodi ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA).

Posted On Monday, 11 December 2017 06:36

VILIO Majonzi na simanzi vilitawala   wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa mwanahabari nguri Joyce Mmasi iliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Posted On Monday, 11 December 2017 06:32

Ikiwa imebaki siku moja tu kufikia tamati ya maonyesho ya Bidhaa za viwanda vya Tanzania, Wananchi wameombwa kuendelea kujitokeza kwa wingi kushuhudia maonyesho hayo ambayo yanafikia kilele hapo kesho Desemba 11,2017 katika viwanja vya maonesho saba saba, Barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.

Posted On Monday, 11 December 2017 06:29

NAIBU Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amemuagiza Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa  Dkt. Said Mawjji kuandaa maoteo ya mahitaji ya dawa mapema na kupeleka Bohari kuu ya Dawa (MSD) kwa ajili ya upatikanaji huo na sio kununua dawa kiholela.

Posted On Monday, 11 December 2017 06:28

Kufuatia taarifa ya mashambulizi na mauaji ya walinda amani wa UN 14 na wengine 53 kujeruhiwa yaliyotokea katika Jimbo la Kivu, Kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Posted On Monday, 11 December 2017 06:23

media

Bangladesh, wakimbizi wa Rohingya wakipewa mablanketi nje ya kambi ya Kutupalong karibu na Cox's Bazar Novemba 24, 2017.

Posted On Tuesday, 05 December 2017 16:46

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa wamepiga kura kuchagua uongozi mpya leo Desemba 5, 2017.

Posted On Tuesday, 05 December 2017 16:41

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wananchi kuwa na utaratibu wa kuwawekea watoto wao akiba ya fedha katika akaunti ya Wajibu ya benki ya NMB, kwa ajili ya matumizi ya baadae pindi zitakapohitajika.

Posted On Tuesday, 05 December 2017 16:34
Page 1 of 1629

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi