We have 348 guests and no members online

Posted On Monday, 06 November 2017 05:56

 Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Alex Malasusa  akiongoza  Maelfu ya Waumini wa KKKT wa Dayosisi hiyo katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa,iliyofanyika jana Uwanja wa Taifa,jijini Dar.

Posted On Monday, 06 November 2017 05:54

media

Baadhi ya wanajeshi wa Marekani walioko nchini Somalia katika mapambano dhidi ya makundi ya kijihadi

Posted On Monday, 06 November 2017 05:52

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro leo Jumamosi Novemba 4,2017 amefungua mkutano mkuu wa wanachama wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club – SPC) mwaka 2017.

Posted On Sunday, 05 November 2017 06:41

Mamlaka ya Chakula , Dawa na Vipodozi TFDA imetakiwa kuboresha udhibiti wa uingizaji wa Dawa, Vipodozi na Chakula nchini kiholela ili kulinda afya ya Watanzania.

Posted On Sunday, 05 November 2017 06:41

Serikali imezitaka Halmashauri nchini kuimarisha ukusanyaji kodi hususani katika pango la ardhi na kuachana na kodi ndogondogo ili kuweza kujiendesha zenyewe katika shughuli mbalimbali za maendeleo.

Posted On Sunday, 05 November 2017 06:39

Posted On Sunday, 05 November 2017 06:36

Bw,Patrick Fata ambaye ni Mhelimishaji kutoka BOT akielekeza na kutoa elimu namna ambavyo unaweza kutambua Noti bandia. 

Posted On Saturday, 04 November 2017 06:50

media

Balozi wa Marekani kwenye umoja wa Mataifa Nikki Haley akiwa na rais wa tume ya uchaguzi DRC CENI, Corneille Nangaa,jijini Kinshasa 27 Oktoba 2017.

Posted On Saturday, 04 November 2017 06:48

Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) kwa ajili ya mradi wa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi II iliingia nchini kupitia Bandarini Oktoba 16, 2017 na jana Novemba 03, 2017 imetolewa Bandarini na inaelekea kituo cha kuzalisha umeme kwa gesi Kinyerezi II (MW 240) Jijini Dare es Salaam. Mradi huu wa Kinyerezi II uliwekwa jiwe la msingi na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli achi 16, 2016. Mradi unatarajiwa kukamilika Septemba 2018.

Posted On Saturday, 04 November 2017 06:45

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameendelea kusisitiza kuwa wananchi hawapaswi kununua damu kwani huduma hiyo ni bure kwa watanzania wote katika hospitali zote.

Posted On Saturday, 04 November 2017 06:44

Aliyekuwa katibu Mkuu wa Mkutano wa Beijing , Getrude Mongela akizungumza wakati wa mkutano wa Wajibu wa Mwanamke katika masuala ya Amani na kutatua Matatizo Barani Afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam jana.

Posted On Saturday, 04 November 2017 06:37
Page 12 of 1629

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu