We have 355 guests and no members online

Mbunge wa Jimbo la Mtera Mh.Livingstone Lusinde (kushoto) na Mbunge wa Dodoma Mjini  Anthony Mavunde (kulia pichani juu wakati wakihojiwa na Hassan Ngoma wa 360 Clouds)  wampongeza Mh. Rais Dk.John Pombe Joseph Magufuli kwa uamuzi wake kuhamishia Makao makuu ya Serikali Dodoma na hivyo kuongeza fursa za kiuchumi katika mkoa wa Dodoma kupitia uzalishaji wa bidhaa na huduma mbalimbali zitakazotolewa.

Posted On Friday, 03 November 2017 12:50

Waziri Mpina na baadhi ya viongozi wa wilaya ya Bukoba wakielekea katika zoezi la upigaji chapa ng’ombe katika kata ya katerero kijijini Kyerwa leo.

Posted On Friday, 03 November 2017 06:15

Kuchelewa kupelekwa fedha ambazo zilitakiwa kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za wananchi ili waweze kukamilisha Mradi wao wa Ujenzi wa jengo la Mashine ya Usindikaji wa Mafuta katika Kijiji cha Kombe umesababisha Mwekahazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kupewa wiki mbili kuhakikisha fedha hizo zinafika haraka la sivyo atakuwa amejiundoa kazini mwenyewe.

Posted On Friday, 03 November 2017 06:14

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo akiongea kwenye kikao cha kamati ya kudumu ya bunge ya utawala na Serikali za mitaa na kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za Serikali za Mitaa kilichofanyika katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma.

Posted On Friday, 03 November 2017 06:12

Balozi wa Tanzania nchini China Mhe Mbelwa Kairuki amewataka Watanzania wanaosoma katika Taifa hilo kutumia fursa hiyo kuunga mkono juhudi za Tanzania kuelekea Uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

Posted On Friday, 03 November 2017 06:11

media

Claude Verlon (kushoto) na Ghislaine Dupont, Kidal, Mali, Julai 2013.

Posted On Friday, 03 November 2017 06:09

 Mwenyekiti wa Halmashauri MH. Ramadhani Diliwa wa tatu kushoto akizungumza na vikundi juu ya usimamizi bora wa matrekta hayo kwa lengo la kuchochea matumizi ya zana bora zakilimo

Posted On Friday, 03 November 2017 06:07

Posted On Friday, 03 November 2017 06:05

Naibu Waziri wa kilimo Mhe Mary Mwanjelwa ametembelea kiwanda cha mbolea cha Minjingu (Minjingu Mines and Fertilizer Ltd) kilichopo katika eneo na Kata ya Minjingu Mkoani Manyara ambapo pamoja na mambo mengine amejionea hali ya uzalishaji wa mbolea asilia ya kupandia aina ya Minjingu.

Posted On Thursday, 02 November 2017 13:10

Balozi wa Norway nchini Tanzania kupitia kwa Balozi wake Balozi Bi. Hanne-Marie Kaarstad leo wameweza kutiliana saini mkataba wa udhamini wa donge nono la kiasi cha Dola 128200(USD) ambazo ni sawa na shilingi za Kitanzania Milioni 300, ambazo zitaenda kusaidia Shirika lisilo la Kiserikali la Busara Promotion kwa ajili ya tamasha la Sauti za Busara 2018.

Posted On Thursday, 02 November 2017 13:09

Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, amekabidhiwa rasmi Ofisi na aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu wa iliyokuwa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa James Mdoe.

Posted On Thursday, 02 November 2017 13:07

Aliyeshika Samakai aina ya Sato ni Waziri Mpina alipotembelea Mradi wa Mabwawa ya Samaki wa Luhanga Wilayani Muleba.

Posted On Thursday, 02 November 2017 06:08
Page 13 of 1629

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu