We have 348 guests and no members online

jog 8e6de

Picha Yangu Ya Kwanza Asubuhi Ya Leo... Mnaoijua Iringa, wapi hapa?
Nimeipiga nikiwa kwenye Jogging. Kwa mnaoijua Iringa, wapi hapa?

Posted On Friday, 08 February 2013 07:19

 

 

65272 4897331663894 1651134430 n 555cf

 

Iringa, leo asubuhi. Mtoto kwenda shule ni kwenda kazini. Nidhamu ya shule ni nidhamu ya kazi. Ijengwe tangu utotoni.

Posted On Friday, 08 February 2013 06:36

 Initiative by Green WastePro Ltd in the city center

Posted On Friday, 08 February 2013 05:51

 

GEDSC DIGITAL CAMERA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi Liberatus Sabas akiwaonyesha waandishi wa habari madawa ya kulevya aina ya bangi ambayo yalikuwa kwenye magunia 97 yaliyokamatwa na askari wa jeshi hilo katika eneo la Usa river wilayani Arumeru (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi)

GEDSC DIGITAL CAMERA

Askari wa jeshi la polisi wakiwa wanashusha magunia ya madawa ya kulevya aina ya bangi mara baada ya kukamatwa eneo la Usa River wilayani Arumeru yakiwa yanasafirishwa kwenye gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T.282 AAJ kuelekea Moshi (Picha na Rashid Nchimbi wa jeshi la Polisi Arusha)                        

Na: Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha

Jeshi la Polisi mkoani hapa limemkamata mtu mmoja akiwa na magunia 97 ya madawa ya kulevya aina ya bangi ambayo yalikuwa yanasafirishwa toka mkoani hapa kuelekea Moshi. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi Liberatus Sabas amesema...

Posted On Friday, 08 February 2013 02:46

 

kkkt

                                        Askofu Thomas Laizer enzi za uhai wake

 

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini.Askofu Thomas  Laizer amefariki duniaalasiri ya leo katika Hospitali ya Rufaa ya Selelian ya Mjini Arusha. Februari 6, 2013 Waziri Mkuu Mizengo Pinda,

Posted On Friday, 08 February 2013 02:40

swahili-fashion-week-2011-day-1-06 9187b

 

Onyesho kubwa la mavazi Afrika Mashariki na kati la Swahili Fashion Week, limepanga kufanya onyesho kubwa visiwani Zanzibar katika Hoteli ya Mbweni Ruins siku ya Ijumaa ya tarehe 15/02/2013 ambapo wabunifu nguli kutoka Tanzania bara na Visiwani wamethibitisha kwa shauku na hamu kubwa ya kuacha kumbukumbu nzuri ndani ya...

Posted On Thursday, 07 February 2013 18:43

 

IMG_6982

 

Na: Anna Nkinda – Maelezo, aliyekuwa Lindi

Taaasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) imeikabidhi hospitali ya mkoa wa Lindi Sokoine  kontena lenye  urefu wa futi 40 lenye mitambo na vifaa vya huduma ya afya vya kisasa  ilivyochangiwa na Shirika linayoshughulika na utoaji wa huduma za kibinadamu la  Project C.U.R.E la nchini Marekani vyenye thamani  ya shilingi milioni mia saba Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika viwanja vya...

Posted On Thursday, 07 February 2013 15:31

 

DSC01903

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na Sista Rosaria Gargiulo wa Shirika la Masista Waabuduo Damu ya Yesu alipowasili kwenye Kijiji cha Matumaini kinacholea watoto yatima eneo la Kisasa, Dodoma leo mchana Februari 7, 2013. Katikati ni Padre Vincent Boselli anayesimamia mradi wa kijiji hicho. (Picha na Irene Bwire – OWM)

DSC01919

  Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (wa pili kulia) akiwa amembeba mtoto Consolatha kwenye shule ya awali ya Kijiji cha Matumaini kinacholea watoto yatima eneo la Kisasa, Dodoma leo mchana Februari 7, 2013. Kulia ni Mwenyekiti wa UWT, wilaya ya Dodoma Mjini, Bi. Fatuma Mwenda na (kushoto) ni Mwenyekiti wa UWT Mkoa huo, Bi Salome Kiwaya. (Picha na Irene Bwire – OWM).

Posted On Thursday, 07 February 2013 15:16

poli e5ba5

Dar es salaam maeneo ya Kurasini

Posted On Thursday, 07 February 2013 15:13

 

mabalozi wa Tusker LiteKampuni ya bia ya Serengeti imezidi kukonga nyoyo za wapenzi wa bia jijini Dar Es Salaam  kupitia kinywaji  chake cha Tusker Lite . Kinywaji hicho cha ukweli  kilizinduliwa  mwezi Novemba mwaka jana . Tusker Lite ina

Posted On Thursday, 07 February 2013 15:02

0001 31b68

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akibonyesha kitufe kuashiaria kuzindua rasmi mfumo wa usajili na utambuzi wa watu na utoaji wa vitambulisho vya taifa uliofnyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Watatu kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Dkt.Emmanuel Nchimbi, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA Bwana Mwaimu na kulia nia Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwan Said Meck Sadik.

0002 968a7Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiangalia bango lenye kitambulisho cha  taifa cha Rais Kikwete muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua mfumo wa Usajili na utambuzi wa watu na utoaji wa vitambulisho vya taifa uliofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya  Ndani ya Nchi Dkt.Emmanuel Nchimbi.

Posted On Thursday, 07 February 2013 14:46

001.MAHELA 829d3

Mshindi  wa  Promosheni ya "MAHELA"Ofisa wa Polisi kanda maalumu ya jijini Dar es Salaam Bi.Liberata Kaligita akishuhudiwa na Meneja Mawasilianao wa Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa (kushoto)pamoja na Ofisa Polisi Bethuel Sumari, akihesabu fedha zake kiasi cha shilingi Milioni 5 .alizojishindia kwenye promosheni hiyo inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,zaidi ya shilingi milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.

Posted On Thursday, 07 February 2013 14:29

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu