We have 220 guests and no members online

media

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Kenya Wafula Chebukati

Posted On Saturday, 28 October 2017 09:53

 Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali la  Haki Elimu nchini John Kalage akipanda mti katika maadhmisho ya wiki ya huduma kwa jamii iliyoambatana na upandaji wa miti na utunzaji wa mazingira katika shule ya sekondari ya Mukulat iliyopo Mkoani Arusha shughuli iliyohudhuriwa na wafanyakazi wa shirika hilo ,wazazi na wadau wa elimu jana (Habari Picha Na Pamela Mollel,Arusha)

Posted On Friday, 27 October 2017 05:10

Watafiti, Dk.Beatrice Lyimo (wa tano kushoto) na Bestina Daniel (wa pili kulia), kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH),wakiwakabidhi mbegu bora ya mihogo Wanakikundi cha Chapakazi katika  Kijiji cha Kalebezo wilayani Biharamulo mkoani Kagera jana, kwa ajili ya kuanzisha shamba darasa wakati wa uzinduzi wa shamba hilo wilayani humo. 

Posted On Friday, 27 October 2017 05:08

Wagombea Udiwani wa CCM katika Uchaguzi wa marudio katika Kata ya Saranga Wilayani Ubungo na Kata ya Kijichi wilayani Temeke leo wamerudisha fomu zao kwa wasimamizi wa uchaguzi katika kata hizo kwa kishondo huku wakisindikizwa na viongozi kadhaa ya wa CCM wakiongozwa ana Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Saad Kusilawe. Pichani, Mgombea wa CCM katika Kata Saranga, Manispaa ya Ubungo Haroun Mdoe akimkabidhi fomu yake Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi wa Kata hiyo Dandasi Kijo kwenye Ofisi ya Afisa Mtendaji kata ya Saranga, leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Saad Kusilawe na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja.

Posted On Friday, 27 October 2017 05:03

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akifungua Mkutano wa kwanza wa Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya Miundombinu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Utatu wa COMESA-EAC-SADC (TRIPARTITE) uliofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Oktober 2017.

Posted On Friday, 27 October 2017 04:57

Katibu Mkuu wa Wizara  ya Maji na Umwagiliaji , Profesa Kitila Mkumbo,Akizindua Jukwaa la wadau kuhusu usimamizi na utunzani wa maji katika Bonde la Pangani jijini Arusha juzi(Habari Picha na Pamela Mollel Arusha)

Posted On Friday, 27 October 2017 04:50

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Dkt Mary Machuche Mwanjelwa (Mb) akizungumza wakati wa kikao cha kazi na Wakuu wa Idara na Vitengo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa wizara ya Kilimo (Kilimo IV)

Posted On Friday, 27 October 2017 04:45

media

Mapigano kati ya wafuasi wa Raila Odinga na polisi katika kitongoji cha Kibera cmjini Nairobi, kando ya uchaguzi wa urais wa Oktoba 26.

Posted On Friday, 27 October 2017 04:40

Posted On Thursday, 26 October 2017 08:20

Naibu Waziri wa Maliasili, Japhet Hasunga akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kangeme kuhusu mgogoro wa mpaka wa Hifadhi ya Msitu wa North Ugala na vijiji jirani vya Kangeme, Utenge na Mtakuja katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Kangeme wilaya ya Urambo mkoani Tabora jana. Alisema Wizara yake itakutana na Wizara ya TAMISEMI na Ardhi kwa ajili kutoa uamuzi wa kumaliza mgogoro huo. 

Posted On Thursday, 26 October 2017 06:32
Page 17 of 1630

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi