We have 131 guests and no members online

images 806e4

Na John Banda, Manyoni.

FAMILIA 220 za wanachama wa chama cha Wakulima wa Zao la Tumbaku  wa kijiji cha Msemembo wilayani manyoni mkoani Singida wazimeziacha nyumba zao na kukimbilia mapolini kutokana na Chama ha ushirika cha Msemembo Amcos kuamua kumtumia dalali wa  kampuni ya  Mwankoko Auction Mart Co.LTD ya mjini Singida.

Posted On Saturday, 02 February 2013 12:48

a1 9ce51

 

Jana  nimemeanza kusoma kitabu hicho kilichoandikwa na Daktari Brizendine. Kabla sijafika mbali nikakutana na hoja tata;Mwandishi anasema, kuwa utafiti unaonyesha kuwa ubongo wa mwanamme unafikiri sex usiku na mchana. Anadai ubongo wa mwanamme una nafasi ya mara  mbili na nusu kwenye kufikiria sex. Na kwamba mwanamme saa zote yuko tayari kufanya sex.  Anadai, kuwa mwanamke asichokijua, ni ukweli kuwa nanihii ya mwananme nayo ina ' mind'-  kwa sababu za kineorogiko.

Kwamba mwananme anapoanguka penzi, basi, mara nyingi huanguka mzima mzima. Lakini si kwake tu, hata mwanamke pia, na yaweza kuwa zaidi.  Tukiayaacha mengine.  Kwenye hoja ya mwanamme kuwa ni kiumbe anayefikiri sex usiku na mchana imebidi nimwulize Bi Mkora wangu, maana yeye ni  mahiri katika kuyatambua haya. Naye kanijibu haya;

" Sikiliza, niweke mapema, ni kweli, na kwa wanaume wa kwetu ndio kabisa,  si afadhali wangefikiri sex usiku na mchana tu, wao wanafikiri sex usiku na wanaendelea kuanzia alfajiri, na kutwa nzima!"- Anasema Bi Mkora.

Makubwa hayo, wengine mnasemaje?

 

Posted On Saturday, 02 February 2013 09:56


Ilikuwa usiku wa kuamkia Alhamisi, Februari 2, 2012, wakati ulipomaliza kwa amani siku yako ya mwisho ya kuishi hapa duniani na kuanza siku yako ya kwanza ya kuishi makazi ya kudumu akhera. Ilikuwa ni siku iliyojaa simanzi kwa mume wako kipenzi Abdallah, watoto wako Hashim na Lulu, mama yako mzazi Mama Babay, Baba yako mzazi Mzee Abdul, kaka yako Yusuf, wadogo zako, shangazi na baba zako wadogo, ambao bado wanakukumbuka.

Posted On Saturday, 02 February 2013 08:21

8 8fd37

 

Ndugu zangu,

Kesho Jumapili naelekea Dodoma. Huko nimealikwa kuhudhuria mkutano wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo. Kuna maofisa wa habari wa Serikali wa nchi nzima watakaokusanyika Dodoma. Hivyo, kuna wanaotoka Iringa.

 

Sasa, kwa vile nitasafiri na Kifaru changu, yawezekana kuna wajumbe watakaoudhuria mkutano wa Dodoma kutokea Iringa. Nina nafasi tatu kwenye Kifaru changu.  Usafiri ni wa bure, lakini, kuna masharti;

- Anayeomba lifti awe na sifa zifuatazo;

- Awe mwanakijiji wa Mjengwablog.

- Awe amewahi kuchangia maoni, kama bado, mpaka kesho saa moja asubuhi awe ameshachangia maoni.

- Awe na uwezo wa kushika spana. Na si kushika tu,  bali kuitumia. Ajue, kwa mfano, unapotaka kufungua nati, spana unaisukuma  kulia au kushoto?

 

Posted On Saturday, 02 February 2013 06:54

6 12426

 

Ndugu zangu,

Siku yako ni vile unavyoianzisha mwenyewe. Hivyo, yaweza kuwa siku njema au mbaya kwa jinsi ulivyoianza. Jaribu siku zote kuianza siku kwa utulivu. Na staftahi yako, kwa maana ya kifungua kinywa, chaweza kuathiri siku yako.

Kuanza siku kwa bakuli la supu ya kongolo yaweza kuashiria kuianza siku kwa kisirani. Maana, kongolo lazima upambane nalo kwa meno, na mchuzi wake utakuwa umetiwa ndimu na pilipili. Hivyo, unaweza kuianza siku na macho mekundu kwa pilipili. Na kauli za aliyekunywa mchuzi wa ndimu na pilipili asubuhi aziwezi kuwa ' laini laini'- ishara za kisirani hizo!

Mie nimeaianza Jumamosi ya leo kwa kfanya jogging kupanda mlima Gangilonga. Nimerudi nyumbani nikakata tikiti langu. Tiketi la baridi asubuhi linaleta amani tumboni. Tikiti lina maji mengi pia. Mwili ni kama injini iliyokuwa inachemka usiku. Asubuhi inahitaji kupozwa kwa maji.

Baada ya tikiti nikapata kikombe cha chai ya rangi bila sukari.  Nasubiri mlo wa mchana, panapo majaliwa.

Naam, siku ni vile unavyoianza mwenyewe!

Maggid,

Iringa.

 

Posted On Saturday, 02 February 2013 06:33

jkk ba817

 

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA

TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WANANCHI, TAREHE 31 JANUARY, 2013

 

Utangulizi

Ndugu Wananchi;

Kama ilivyo ada naomba tuanze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, Mwenye Rehema, kwa kutujaalia uzima na kutuwezesha kuzungumza kwa mara nyingine kwa kutumia utaratibu wetu huu mzuri wa mawasiliano baina ya Rais na wananchi wa Tanzania kila mwisho wa mwezi.  Siku ya leo nitazungumzia safari yangu ya Ufaransa, Uswizi na Ethiopia.  Pia nitazungumzia ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi asili kutoka Mtwara kuja Dar es Salaam.

Safari za Kikazi Nje ya Nchi

Ndugu Wananchi;

Posted On Friday, 01 February 2013 17:02

 

01(4)Mwakilishi wa Jumuiya ya Wazanzibari wanaoishi nchini Canada (ZANCANA) Bishara Al Masroori akizungumza na Wazazi wa watoto wenye ulemavu hawapo pichani katika hafla ya kukabidhi msaada kwa watu hao,kushoto ni Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Fereji huko  Makao Makuu ya Jumuiya ya watu wenye ulemavu Zanzibar Weles.

Na: Ali Issa-Maelezo Zanzibar

 Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa kwaza wa Rais Fatuma Abdullhabibu Fereji amesema kuna kila sababu za kuwasaidia Vipando watu wenye ulemavu ili

Posted On Friday, 01 February 2013 16:28

 

wpid-Prime-Minister-Mizengo-Pinda

 

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema kila Halmashauri hapa nchini ina wajibu wa kuhakikisha kuwa mipango inayowekwa inalenga kusadia watoto walio katika mazingira hatarishi. Ametoa kauli hiyo leo mchana (Ijumaa, Februari mosi, 2013) wakati

Posted On Friday, 01 February 2013 16:18

100 4355 c3090

Posted On Friday, 01 February 2013 16:03

DSC_0632

Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akizungumza na Waandhishi wa Habari masuala mbalimbali ya Mahakama hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanizbar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

 

Posted On Friday, 01 February 2013 13:42

 

3

Meneja wa Mauzo wa Kampuni ya Startime  David Kisaka (kushoto)akikabidhi vifaa hivyo kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo Bi:Anna Mang’enya(kulia)pembeni ni wanafunzi wa shule hiyo wenye ulemavu wasiona na kusikia,

PICHA NA PHILEMON SOLOMON

1

Meneja wa Mauzo wa Kampuni hiyo David Kisaka akiongea na waandishi wa habari kabla ya kukabidhi vifaa hivyo.

KAMPUNI ya Starmedia(Startimes) imetoa misaada mbalimbali ikiwemo vyakula kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko vyenye thamani ya zaidi ya Sh Milioni 3. Akikabidhi msaada huo,...

Posted On Friday, 01 February 2013 12:03

007 8508d

Mwakilishi miongoni mwa wa wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa Vodacom Tanzania, Precious Huggins , akizungumza kwa niaba ya wenzake wakati wa hafla ya kukabidhi michango yao ya vifaa mbalimbali kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom, vikiwemo vyandarua , vifaa vya ujenzi, vyakula na vinginevyo vyote vikiwa na thamani ya takribani sh milioni 4 kwenye kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa kilichopo Bunju nje

Posted On Friday, 01 February 2013 09:45

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Maji