We have 149 guests and no members online

Dk: Bilali Aweka Msingi Mradi Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Jengo La Nyumba Za Makazi Ya Watumishi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam, leo Desemba 20, 2012.
Dk: Bilali Aweka Msingi Mradi Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Jengo La Nyumba Za Makazi Ya Watumishi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib...
Posted On Thursday, 20 December 2012 06:16
Balozi Wa Korea Amuaga Dr.Shein 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi  wa Korea Nchini Tanzania, Chung Il ,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar,kwa ajili ya kujitambulisha
Balozi Wa Korea Amuaga Dr.Shein 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi wa Korea Nchini Tanzania, Chung Il...
Posted On Thursday, 20 December 2012 06:09
Uhalifu Umepungu Nchini
Na Heka Wanna na Shakila Galus,MAELEZO
  20/12/2012
 
MATUKIO ya uhalifu nchini imepungua kutokana na ushirikiano mzuri baina ya wananchi kwa kutoa taarifa za uhalifu  kwa jeshi la polisi.
 
Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam  Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Isaya  Mnguru alisema kuwa kwa...
Posted On Thursday, 20 December 2012 05:42
Washikiliwa Kwa Wizi Wa Kwenye Mitandao
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA POLISI TANZANIA

     TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 20/12/2012

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kujihusisha na shughuli za wizi wa mtandao hususani katika maduka yanayotoa huduma za M-PESA,Tigo Pesa na Airtel Money...
Posted On Thursday, 20 December 2012 04:36
Waziri Mkuu Kutoa Mizinga 25 Kwa Kikundi Cha Sanaa 
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameahidi kutoa mizinga ya nyuki 25 ya kisasa na ya kibiashara kwa ajili ya kikundi cha sanaa cha kata ya Mamba wilayani Mlele mkoani Katavi ili waweze kuzalisha mali na kujiendesha wenyewe.

Alitoa ahadi hiyo jana jioni (Jumatano, Desemba 19, 2012) wakati akizungumza na wakazi wa kata ya Mamba kwenye uwanja wa...
Posted On Thursday, 20 December 2012 04:30
Serikali Yatenga Sh.Bilioni Moja Kujenga Daraja La Kavuu
SERIKALI imetenga kiasi cha sh. bilioni moja kwa ajili ya kazi za awali za ujenzi wa daraja la mto Kavuu linalounganisha kata za Mamba, Kasansa, Majimoto, na kijiji cha Inyonga yalipo makao makuu ya wilaya mpya ya Mlele.
 
Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda jana jioni (Jumatano, Desemba 19, 2012) wakati akizungumza na wakazi wa...
Posted On Thursday, 20 December 2012 04:23
Kim,Renard Kuwakabili Waandishi Kesho
Release No. 199
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Desemba 20, 2012

KIM, RENARD KUWAKABILI WAANDISHI KESHO
Makocha wa Tanzania (Taifa Stars), Kim Poulsen na Zambia (Chipolopolo) watakuwa na mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika kesho (Desemba 21 mwaka huu) kuzungumzia pambano lao litakalochezwa Jumamosi (Desemba 22 mwaka huu) Uwanja wa Taifa,...
Posted On Thursday, 20 December 2012 03:44
Wenyeviti Wa Mitaa Wafundishwa Polisi Jamii
 Mkuu wa Polisi wilaya ya Arusha Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Gilles Muroto akiongea na Wenyeviti wa mitaa ya halmashauri ya jiji la Arusha katika ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi lililopo jijini hapa
Wenyeviti Wa Mitaa Wafundishwa Polisi Jamii
Mmoja wa wenyeviti wa mitaa ya jiji la Arusha akielezea matatizo ya mtaa wake katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Bwalo la...
Posted On Thursday, 20 December 2012 03:39

Dk. Terezya Huvisa Aifungia Hotel Ya Double Tree Ya Jijini Dar es Salaam 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa (wa kwanza kulia) akikagua mfumo wa maji taka katika Hotel ya Double Tree jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Waziri ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Charles Kitwana na Dkt. Robert Ntakamulenga kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira...
Posted On Thursday, 20 December 2012 01:30

Zuku Yaingia Mkataba Na Kampuni Ya Max MalipoMsimamizi Mkuu wa Uendeshaji wa Kampuni ya Max Malipo Bw, Ahmed Lusasi akionyesha Mashine ya kielektroniki Mbele ya Waandishi wa Habari mara baada ya Kuingia mkataba wa Kibiashara na Kampuni ya Zuku  leo katika Hoteli ya Blue Pearl  jijini Dar es Salaam juu ya Kampuni yao kuingia mkataba wa Kuuza Vocha za Zuku  ambapo leo...
Posted On Thursday, 20 December 2012 01:24

Mkuu Wa Mkoa Wa Arusha Amzawadia Tuzo Mwandishi Wa New Habari

NA: GLADNESS MUSHI -ARUSHA
MKUU wa Mkoa wa Arusha amemzawadia   tuzo ya uandishi bora  wa habari za jamii na maendeleo Meru , mwandishi wa habari  Mary Mwita   wa magazeti ya Mtanzania na Rai ya  Kampuni ya New habari (2006) LTD.

 Mkuu wa Mkoa huyo ametoa  tuzo hiyo ,ikiwa ni ahadi yake ,na agizo...
Posted On Thursday, 20 December 2012 01:12
Mtangazaji Mwandamizi wa Dw, Josephat Charo jana  amebeshwa mikoba ya Othman Miraji aliyestaafu hivi karibuni. kulia ni sudi mnete  baada ya kutangaza wadhfa huo katika hafla maalum mjini Bonn.
@import url(http://www.google.com/cse/api/branding.css);

...
Posted On Wednesday, 19 December 2012 22:16

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu