We have 172 guests and no members online

Kipande cha Presentation Yangu Pale Nkrumah Hall Desemba 9
http://www.youtube.com/watch?v=LeU0jhHxa44...
Posted On Saturday, 29 December 2012 12:16

Waziri Mukangara Akagua Vikundi Vilivyopata Mkopo Wa Vijana Bukoba 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara  (kushoto) akiangalia kahawa  katika shamba darasa inayolimwa na Ibrahim Mulokozi (kulia) ambaye ni mkazi wa kijiji cha Ibwera wilayani Bukoba aliyenufaika na mkopo wa shilingi laki nne kutoka mfuko wa maendeleo ya vijana. Waziri Dk. Mukangara alilitembelea...
Posted On Saturday, 29 December 2012 12:16
Serikali Yaombwa Kuongeza Fedha Za Mkopo Wa Vijana
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara  (kushoto) akipokea taarifa ya SACCOS ya Ibwera iliyopo  wilayani Bukoba kutoka kwa Benedicta Peter ambaye ni katibu msaidizi. SACCOS hiyo  ilipata mkopo wa shilingi milioni tano kutoka mfuko wa maendeleo ya vijana na kuvikopesha vikundi mbalimbali vya...
Posted On Saturday, 29 December 2012 12:16
Waziri Mkuu Ahimiza Maendeleo Jimboni Katavi.

Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anapata maelezo kutoka kwa mtalamu wa Tanesco makao makuu Eng. Tumaini Temu kuhusu jinsi jenereta walil lifunga linavyofanya kazi katika kuzalisha umeme katika kijiji cha Kibaoni.kushoto kwa waziri mkuu ni tekinisheni  wa Tanesco Bibi.Salama Mpera.

Waziri Mkuu Ahimiza Maendeleo Jimboni Katavi.
Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anakagua kibanda...
Posted On Saturday, 29 December 2012 12:16

Mkutano Wa Chama Cha Waandishi Wa Habari Za Michezo (TASWA) Wafanyika Bagamoyo Leo
Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys Bw. Ridhiwan Kikwete  akifungua mkutano mkuu wa chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA unaofanyika kwenye Hoteli ya Kiromo View Bagamoyo mkoani Pwani ambao unajadili mambo mbalimbali ya Maendeleo na changamoto zinazokabili chama hicho.Waanishi wa habari za...
Posted On Saturday, 29 December 2012 12:16
Mwaka Mpya Na Mambo Mapya!

Ndugu zangu,
Kutokana na maoni ya wadau mbalimbali tunayo furaha kuwatangazia Mjengwa Blog itatoka na muonekano mpya ifikapo Januari Mosi 2013.
Maggid Mjengwa
Mwenyekiti Mtendaji -Mjengwa Blog ...
Posted On Saturday, 29 December 2012 12:16
Arusha Kuwa Makao Makuu Ya Chama Cha Ngumi Za Kulipwa Afrika Ya Mashariki Na Kati (ECAPBA).
 
                                            TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
         &
...
Posted On Saturday, 29 December 2012 12:16
Taswira Za Uzinduzi Wa Saccoss Ya Tujipe Moyo ZanzibarMwenyekiti wa  SACCOS ya Tujipe Moyo Safia Maulid Haji (wapili kulia) akiwa na muakilishi wa jimbo la magomeni Salmin Awadhi Salmin wa kwanza kulia pamoja na mgeni rasmin wakisikiliza utenzi uliosomwa na Amina Mkombe hajupo pichani katika ufunguzi wa SACCOS  hiyo huko katika ukumbi wa Baraza la wawakilishi la zamani.
Taswira Za Uzinduzi Wa Saccoss Ya Tujipe Moyo ZanzibarMwenyekiti wa...
Posted On Friday, 28 December 2012 08:39
Makamu Wa Rais Afungua Kituo Cha Polisi Cha Kiboje Zanzibar
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaliminana na maofisa wa Usalama wa Wilaya ya Kati, wakati alipowasili eneo hilo kwa ajili ya kufungua rasmi Kituo cha Polisi cha Kiboje, kilichpo Mkoa wa Kusini Unguja
PICHA NA OMR
Makamu Wa Rais Afungua Kituo Cha Polisi Cha Kiboje Zanzibar
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....
Posted On Friday, 28 December 2012 08:39
Vodacom Yaupa Nguvu Mradi Wa Mbwa Mwitu
Rais Jakaya Kikwete akionesha mbwa mwitu(hawapo pichani) wanavyorejea katika hifadhi ya Serengeti mara baada ya kuachiwa kutoka katika banda maalum walilokuwa wamehifadhiwa ikiwa ni awamu ya pili ya kundi la mbwa hao chini ya Mradi wa Uhifadhi na Ulinzi wa wanyama hao walio katika hatari ya kutoweka. Vodacom Foundation hadi sasa imeshatumia...
Posted On Friday, 28 December 2012 08:39
...

edge point   

Posted On Friday, 28 December 2012 08:39
Mjengwa Blog Yapiga Kambi Ya Muda Sumbawanga Mjini
         Moja ya pita kushoto iliyopo Sumbawanga mjini
...
Mjengwa Blog Yapiga Kambi Ya Muda Sumbawanga Mjini

Sumbawanga hapa, barabara za katikati ya mjini,(jangwani) leo mchana
Posted On Friday, 28 December 2012 08:39

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi