We have 180 guests and no members online

Krismass Ni Kero Ya Muungano!..(Annur)
...
Posted On Friday, 28 December 2012 08:38
Vya Krismas Vimepita, Wengine Tumerudi Kwenye Ugali Na Mlenda Wetu!

Ndugu zangu,
Marehemu bibi yangu mzaa baba, Binti Ngondya Wa Senjonjo wa Nyeregete , Mbarali, yeye haikupita wiki bila kupika ugali na mlenda.

Na marehemu bibi yangu mzaa mama, Binti Muhando Mwaruka wa Mzenga, Kisarawe, naye pia haikupita wiki bila kupika 'pombo'- ni mlenda huo huo kwa ugali. Tuliokuwa wajukuu tulifaidi kweli.

Na hakika, hivyo...
Posted On Friday, 28 December 2012 08:38

Niko Ruaha N'Park Pamoja Na Kikosi Kizima.


Jioni hii tumeona simba 12 wakimtafuna twiga mmoja. Hii ni park ya kuvutia, na sisi wa Iringa ni karibu na gharama nafuu.

 

Posted On Monday, 24 December 2012 20:03

‘Kuna Binadamu Ambao, Kwa Kujali Fedha Wanauza Sumu Kwa Binadamu Wenzao’\

Na: Meshack Maganga-Iringa.

Ndugu zangu,

Dhumuni la wewe na mimi kuwepo duniani ni kuishi maisha yenye madhumuni, maisha yenye mafanikio na maisha yanayonufaisha wengine. Wanadamu wote walioweza kufanikiwa kwa kujitengenezea mafanikio wenyewe kutoka chini ni wale ambao wametambua sababu ya wao kuwa wao, wanajua ni nini wao na wenzao wanakitaka na wanajua kuwa ili maisha yao yawe na maana lazima wafanikiwe katika hilo.Ukitaka kutengeneza maisha yenye mafanikio duniani, tafuta kujua dhumuni lako hapa duniani.

Ndoto kwenye maisha yetu ni malengo yetu ya kuwa hapa duniani. Kutafakari na kuwa na vusheni kwa nini mtu yuko hapa duniani na jindi mtu anavyojiambia kuhusu anachoamini ndilo lengo lake la kuwepo hapa duniani. Lakini kwa bahati mbaya wengi wetu hatujui malengo yetu, kama tulivyokeisha sema hapo awali.

Posted On Monday, 24 December 2012 20:03

Mlimani Dar...!

chuo kikuu cha Dar es salaam bado kina mandhari ya kuvutia...

Posted On Monday, 24 December 2012 20:03

Kipanya Leo

Posted On Monday, 24 December 2012 20:03
Madibira Sokoni Hapa...!
Madibira,juzi jumamosi...
Posted On Monday, 24 December 2012 20:02
Njombe, Iringa Waponda Matokeo Darasa La Saba

 Na: Shaban Lupimo, Njombe
 
WANASIASA wa Mikoa ya Iringa na Njombe  wameponda matokeo ya darasa la saba yaliyotangazwa  na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk Shukuru Kawambwa, kwa kusema kuwa Serikali inapika bomu la wasomi ambao hawatakuwa na tija kwa  taifa.

Wanasiasa hao walitoa kauli hiyo juzi  katika...
Posted On Monday, 24 December 2012 20:02
Naibu Katibu Mkuu Wa CCM Azungumza Na Waandishi Leo 
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba akizungumza na waandushi wa Habari, leo, katika Ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. 

                         ...
Posted On Monday, 24 December 2012 20:02
Meya Jerry Silaa Ashiriki Kampeni Ya Usafi Gongo La Mboto

Pichani Juu na Chini ni Mstahiki Meya wa Ilala na Diwani wa Kata ya Gongo la mboto, Jerry Silaa akiwa na baadhi ya wakazi wa Kata hiyo wakifanya kazi ya usafi katika eneo la Stendi ya Mabasi ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kuhimiza usafi na kuhifadhi mazingira katika jiji la Dar es Salaam iliyozinduliwa na makamu wa Rais mwanzoni mwa mwezi huu.
Meya Jerry Silaa Ashiriki Kampeni Ya Usafi Gongo La Mboto
Meya Jerry Silaa Ashiriki Kampeni Ya Usafi Gongo La Mboto

M...
Posted On Monday, 24 December 2012 20:02

Umoja Wa Wapanda Pikipiki Wa Mkoa Wa Mwanza Kupambana Na Uhalifu Kupitia Polisi Jamii
Mkurugenzi Msaidizi kutoka  Idara ya Maendeleo ya Vijana  James Kajugusi  (kulia) akimkabidhi mwenyekiti wa Chama cha Umoja wa Waendesha Pikipiki mkoa wa Mwanza Makoye Bunoro Shilingi 50,000/= kwa ajili ya kuweka mafuta katika pikipiki za kitengo cha Polisi jamii pale wanapoenda kupambana na wahalifu.Umoja huo unawasaidia...
Posted On Monday, 24 December 2012 20:02
MERRY X-MASS

Nawatakia X-mass njema
Maggid
Iringa...

Posted On Sunday, 23 December 2012 16:49

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi