We have 180 guests and no members online

Mahafari Ya 8 Ya SUZA YafanaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ,akitoa zawadi kwa mwanafunzi bora katika fani yaShahada ya Sanaa na Elimu, kwa Sabrina Saidi Rashid,katika sherehe za Mahafali ya nane ya Suza,huko katika kampasi ya Tunguu leo.
Mahafari Ya 8 Ya SUZA Yafana
Baadhi ya Viongozi wakuu wa Serikali ya
...
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22
Naelekea Ruaha National Park Mchuana Huu
Nitaongozana na makamanda wangu.Picha za njiani zinakuja...
Posted On Sunday, 23 December 2012 12:22

Tume Ya Mipango Kurasimisha Rasilimali Za Wanyonge Zanzibar

Mratibu wa Mkurabita Bi Seraphia Mgembe akiongea na Wahariri wa vyombo mbalimbali
vya Habari nchini kuhuhusu mpango wa Kurasimisha Rasilimasli na Biasharaq za Wanyonge
Tanzania.shughuli hiyo imefanyika Zanzibar

Tume Ya Mipango Kurasimisha Rasilimali Za Wanyonge Zanzibar

 Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar BI. Amina Hamisi(Katikati) akiongea na
wanahabari kuhusu mpango wa Kurasimisha Rasilimali na
...

Posted On Saturday, 22 December 2012 13:46
Naelekea Kijijini Mahango- Madibira
Na alfajiri hii naondoka kuelekea kijijini Mahango , Madibira. Nitaongozana na makamanda wangu, ingawa mmoja anaonekana hatoweza kufuatana nami kutokana na mafua.
Kule Mahango nitashiriki kukabidhi rasmi misaada ya kutoka kwa marafiki wa Norwich. Kutakuwepo na madiwani wawili; wakuu wa shule na watendaji. Tutajadili pia namna ya ushiriki wa
...
Posted On Saturday, 22 December 2012 09:17
Azua Taharuki Kwa Kupanda Nguzo Ya Umeme

MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Shija Machiya (30), mkazi wa Kijiji cha Butulwa, Kata ya Old Shinyanga jana alizua kizaazaa, baada ya kupanda kwenye nguzo ya umeme ya njia kuu inayopeleka umeme mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu wilayani Kahama.
 
Machiya alipanda katika nguzo hiyo inayosafirisha umeme wa msongo wa KV 220 katika eneo la Ihapa...
Posted On Saturday, 22 December 2012 09:17
Msafara Wa Lema Waishia Makao Makuu CHADEMA

Msafara Wa Lema Waishia Makao Makuu CHADEMA

 Mwenyekiti Mbowe akihutubia wafuasi wa chama chake makao makuu baada ya Lema Kurudishiwa ubunge na mahakama ya rufaa

Msafara Wa Lema Waishia Makao Makuu CHADEMA

 Mwanachama akiwa na bango linalosema SAY NO TO TBC.ikumbukwe kuwa kamati kuu ya chama ilishatangaza mgogoro na TBC.

Posted On Friday, 21 December 2012 21:23

Makamu Wa Rais Dkt. Bilali Amjulia Hali Waziri Mstaafu Wa Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia, Hamid Ameir Ali, ambaye ni Waziri Mstaafu na Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakati alipofika kumjulia hali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja mjni Zanzibar jana Desemba 20, 2012, alikolazwa kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya malaria na...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
...Unlock Your Entrepreneurship Power
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
Balozi Mdogo Wa Msumbiji Akutana Na Naibu Katibu Mkuu Wa Ccm Zanzibar.
Balozi Mdogo Wa Msumbiji Akutana Na Naibu Katibu Mkuu Wa Ccm Zanzibar.
Balozi mdogo wa Msumbiji aliekuwapo Zanzibar Bernado Constantino Lidimba wakwanza kulia akifanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wa CCM Zanzibar wakati alipofika Ofisini hapo kwa ajili ya kuwaaga baada ya kumaliza muda wake,kulia yake ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai mwengine ni Katibu wa Kamati Maalum ya Nec,Haji Mkemana...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
...
health 1   Taking good care of our health has become increasingly important I this day and age of processed food, genetically modified crops and polluted environment.A group of amazing people have arranged a special training on weight management and how you can attain a perfect weight in a health way.Don't post pone having a fit body. Once gone
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
Wafanyakazi Wa Vodacom Wachangia Shillingi Milioni 50 Kusaidia Watoto Yatima.

Ni msaada kwa ajili ya kampeni yake ya ‘Pamoja na Vodacom msimu huu wa sikukuu

 Wakati maandalizi ya msimu huu wa sikukuu yakizidi kushika kasi, Kampeni ya ‘Pamoja na Vodacom’ bado inaendeleza ziara zake, ambapo kwa mwezi huu Kampeni hiyo imetenga zaidi ya shilingi milioni 50 kwa lengo la kuwafikia watoto yatima nchi nzima. Kampeni ya Pamoja...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi