We have 180 guests and no members online

Vyuo Kutoa Mafunzo Ya Bodaboda
Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani Mkoa wa Arusha Mrakibu wa Polisi Marison Mwakyoma  akiongea na madereva wa Boda Boda kwenye mkutano uliofanyika katika uwanja wa wazi uliopo kata ya kimandolu jijini Arusha.(Picha na mahmoud ahmad Arusha)

 Mkuu huyo wa Usalama barabarani amesema ameanzisha kampeni hiyo ili kila...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
Watahadharishwa Juu Y a Ugonjwa Wa Kuhara
Na Faki Mjaka Maelezo Zanzibar       21/12/2012
 Jamii imeshauriwa kuchukua tahadhari kwa kunawa mikono kabla na baada ya kula sambamba ba kuhifdhi vinyesi sehemu stahiki ili kuweza kujikinga na maambukizi ya maradhi ya kuharisha na kutapika.
 Ushauri huo umetolewa na Afisa wa Kitengo cha Kudhibiti,kuzuia...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
Tanzania Kuridhia Itifaki Ya Pili Ya Kyoto

 
Na Heka Wanna na Shakila Galus,MAELEZO
 
SERIKALI ya Tanzania imesema itaanza mchakato wa kuridhia itifaki mpya ya Kyoto ili nchi na wananchi waweze kuendelea kunufaika na fursa zilizopo chini chini ya mkataba huo.
  Kauli hiyo imetolewa jana jijini na WAZIRI wa Nchi  Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
Wasanii Waenda Ikulu Kumshukuru Rais Kwa Kuwajali


Wasanii Waenda Ikulu Kumshukuru Rais Kwa Kuwajali

Wasanii Waenda Ikulu Kumshukuru Rais Kwa Kuwajali
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Desemba 21, 2012 amepokea ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamu
uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaaam kwa kuwajali wasanii wa aina zote na hata kuamua kutoa tuzo kwa wasanii
ambapo mwaka huu amewatunuku Muhidin Maalim Gurumo na Hayati Marijani Rajabu.

PICHA NA IKULU...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
'Message Sent!' Pombe Si Chai...!

Hasa kwa majira haya ya Xmas na Mwaka Mpya. Pichani ni Mang'ula, Kilombero, jana mchana.
...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
Sanje Falls, Udzungwa...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23
Tuma Pesa Popote Ulipo Kwa M-pesa...
Posted On Friday, 21 December 2012 21:23

 Baadhi ya watoto wa Puma, wakicheza muziki kwenye shindano lililoandaliwa na shirika lislo la kiserikali-YMC la mjini Singida

Washiriki wakiwa na mabango kuhamasisha vijana kujishughulisha na ujasiriamali, ulioandaliwa na shirika lislo la kiserikali
Na: Elisante John,Singida.

SHIRIKA la lisilo la kiserikali ‘Youth Movement for Change (YMC), linaloshughulika zaidi na vijana walio ndani na nje ya shule, limeanzisha programu ya elimu ya ujasiriamali, ili vijana watumie vema fursa zilizopo kuinua uchumi wao.

Akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa programu hiyo katika kijiji cha Puma wilayani Ikungi, afisa maendeleo katika halamshauri ya wilaya Singida, Joseph Sabore aliwataka vijana kujiunga katika vikundi ili wanufaike na mikopo inayotolewa na serikali.

Aidha, alivitaka vikundi vinavyopata mikopo hiyo, kuhakikisha vinafanya marejesho kwa wakati, ili vikundi vingine katika wilaya hiyo nayo viweze kunufaika na mikopo hiyo.

Kwa upande wake mratibu wa shirika la YMC Mkoa Singida, Fidels Yunde alisema kuwa mpango huo wa miezi sita, utatumia zaidi ya Sh. Milioni 27, kwa awamu ya kwanza, itakayogharimu miezi sita hadi kufikia machi mwakani.

Yunde alisema program hiyo inayojulikana kwa jina la ‘Kazi nje nje’, umeanza kutekelezwa kwenye wilaya mbili, ikiwemo wilaya mpya ya Ikungi na Halmashauri ya wilaya Singida.

Alisema, kupitia mafunzo hayo, vijana watanufaika na elimu ya ujasirimali na hivyo kuelewa vema fursa zilizopo katika jamii, na hatimaye kuzigeuza kwa ajili ya kuwaongezea pato la kutosha, kuweza kumudu maisha yao ya kila siku.

“Kazi nje nje’ ni mpango wa kweli ambao naamini utawakomboa vijana kutoka vijiweni hadi kumiliki utajiri …tuna mifano mingi na tumeona watu wengi wakianzia na uoshaji magari hadi kumiliki utajiri, “ alibainisha Fidels.

Kwa mujibu wa Yunde, mpango huo kupitia shirika hilo, upo chini ya ufadhili wa umoja wa mataifa kupitia shirika la kazi duniani ILO, baadaye utaendelea katika wilaya za Iramba, Mkalama na hatimaye Manyoni.

Posted On Friday, 21 December 2012 08:41
Mitaa Ya Kati Iringa Leo
   Ni mitaa ya mashine tatu Iringa...
Posted On Friday, 21 December 2012 00:38
Lema Arudishiwa Ubunge Na Mahakama Ya Rufaa

 Lema,Mbowe na nassari mahakamani

Lema Arudishiwa Ubunge Na Mahakama Ya Rufaa

 Mawakili wakiwa kwenye viti vyao

Lema Arudishiwa Ubunge Na Mahakama Ya Rufaa

 Hawa ndiyo waliokuwa wamefungua kesi dhidi ya lema

Lema Arudishiwa Ubunge Na Mahakama Ya Rufaa

 Mahakamani,lissu,nassari,mwenyekiti mbowe na kilewo wakiteta na mke wa lema

Lema Arudishiwa Ubunge Na Mahakama Ya Rufaa

 Lema akianza kutoa hotuba fupi baada ya kutoka mahakamani.kulia ni joshua nassari

Lema Arudishiwa Ubunge Na Mahakama Ya Rufaa

 Vitalisi kimomogoro,wakili wa lema.huyu...

Posted On Friday, 21 December 2012 00:00
Daktari Wa Rufaa Mbeya Atiwa Mbaroni Kwa Madai Ya Kupokea Rushwa
DAKTARI wa kitengo cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa Mbeya,Paul Kisabi (32), anayetuhumiwa kwa kupokea rushwa ya sh 100,000
Daktari Wa Rufaa Mbeya Atiwa Mbaroni Kwa Madai Ya Kupokea Rushwa
Hapa daktari huyo akiwa na maafisa wa takukuru wakiingia mahakamani
Daktari Wa Rufaa Mbeya Atiwa Mbaroni Kwa Madai Ya Kupokea Rushwa
Daktari Wa Rufaa Mbeya Atiwa Mbaroni Kwa Madai Ya Kupokea Rushwa
Hapa Dr huyo akiongea na wakili wake
...
Daktari Wa Rufaa Mbeya Atiwa Mbaroni Kwa Madai Ya Kupokea Rushwa

Na: Mbeya Blog

DAKTARI wa kitengo cha upasuaji katika
Posted On Thursday, 20 December 2012 23:50
Waziri Wa Habari Zanzibar Azindua Bodi Ya Tume Ya Utangazaji Zanzibar

Na: Ali Issa Maelezo Zanzibar
Waziri wa Habari Utamaduni, utalii na Michezo Zanzíbar Saidi Ali Mbaruok amesema wakati umefika sasa kwa wandishi wa habari wa Zanzíbar kupata nafasi ya kwenda nchi za nje kuitangaza Zanzíbar kiutalii kila itapo fanyika Maonyesho, makongamano na mikutano ya utaliiduniani. 

Hayo ameyasema leo huko Ofisini kwake...
Posted On Thursday, 20 December 2012 22:53

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi