We have 179 guests and no members online

Pilika Asubuhi Dar...
Posted On Thursday, 20 December 2012 21:05
Kipanya Leo...
Posted On Thursday, 20 December 2012 21:01
Waziri Akutana Na Bodi Za Ushauri Wa Magazeti Zanzibar
Na Mwanaisha Muhammed Maelezo Zanzibar 20/12/2012.


Waziri wa Habari  Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk amesema kuwepo kwa magazeti mengi katika nchi   kunasaidia sana kuharakisha harakati za Maendeleo .

Aliyasema hayo huko ofisini kwake Kikwajuni  wakati alipokuwa akibadilishana mawazo na wajumbe wa Bodi ya ushauri wa&...
Posted On Thursday, 20 December 2012 18:56
Polisi Watuhumiwa Kubambikiza Watu Kesi Arusha
Mahmoud Ahmad Arusha
Jeshi la polisi mkoani hapa linatuhumiwa kwa kuwabambikia kesi wanafamilia moja jijini hapa licha ya kesi ya msingi kuwepo kwenye mahakama kuu ikiendelea.

Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi mmoja wanafamilia hiyoMgeni Ally Hatibu alisema kuwa wamekuwa wakifanyashughuli zao za kujipatia riziki kwa kufuatwa na askari wa...
Posted On Thursday, 20 December 2012 18:52
Siku Ya Tuzo Za Wanataaluma Yasogezwa Mbele
Wazalendo,
Napenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha kuwa kutokana na maombi ya

wanataaluma wengi kuwa mwishoni mwa mwezi desemba wanakuwa likizo.
Hivyo basi TPN imesikiliza maoni hayo na tumeamua kuisogeza mbele siku hii
ya wanataaluma Tanzania hadi mapema mwaka 2013.
Siku na Mahali tutawajulisha hapo baadae, mambo yote yaliyopangwa

yatafanyika.
Kutok
...
Posted On Thursday, 20 December 2012 18:47
Jeshi La Polisi Latoa Siku Saba Kwa Baadhi Ya Askari Wanaodaiwa Kuiba Milioni 150 Zilizo Porwa

JESHI la Polisi limetoa siku saba kwa baadhi ya askari kuzisalimisha  fedha zipatazo sh milioni 150 wanazodaiwa kuiba, ambazo zilizoporwa na majambazi Mtaa wa Mahiwa na Livingston jijini Dar es Salaam juzi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Suleiman Kova, alisema kutokana na tuhuma hizo jeshi...
Posted On Thursday, 20 December 2012 12:46
JK.Akutana Na Mmiliki Wa Klabu Ya Sunderland 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short (kushoto kwa Rais), Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband (kulia kwake), Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Kagasheki, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr Fenella Mukangara, Naibu Waziri wa...
Posted On Thursday, 20 December 2012 12:38
Usafiri Ubungo Ni Balaa Tupu
 
 Na: Haika Kimaro
WAKATI abiria wanaendelea kulalamikia kupanda kwa nauli za mabasi yaendayo mikoani, hali ya usafiri katika Kituo Kikuu cha mabasi Ubungo imezidi kuwa mbaya.

Hali hiyo imekuja kutokana na kuwapo kwa abiria waliokwama kuelekea mikoa ya kaskazini na nyanda za juu kusini kutokana na uchache wa mabasi.

Mwananchi
...
Posted On Thursday, 20 December 2012 06:52
Kipanya Leo...
Posted On Thursday, 20 December 2012 06:46
Mama Salma Kikwete Azindua Huduma Ya Bima Ya Afya Kwa Vikundi Vya Wajasiriamali 
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, (WAMA), Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa huduma za Bima ya Afya kwa vikundi vya SACCOS vya UVIMA (Umoja wa vikundi vya WAMA Tawi la Majohe lililoko wilayani Ilala) na Salma Kikwete SACCOS kilichoko Mkuranga. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye...
Posted On Thursday, 20 December 2012 06:32
Dk: Bilali Aweka Msingi Mradi Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Jengo La Nyumba Za Makazi Ya Watumishi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es Salaam, leo Desemba 20, 2012.
Dk: Bilali Aweka Msingi Mradi Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Jengo La Nyumba Za Makazi Ya Watumishi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib...
Posted On Thursday, 20 December 2012 06:16
Balozi Wa Korea Amuaga Dr.Shein 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi  wa Korea Nchini Tanzania, Chung Il ,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar,kwa ajili ya kujitambulisha
Balozi Wa Korea Amuaga Dr.Shein 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi wa Korea Nchini Tanzania, Chung Il...
Posted On Thursday, 20 December 2012 06:09

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi