We have 147 guests and no members online

Siku Ya Wanafamilia Wa NBC Ilivyofana Jijini Dar es SalaamMkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (katikati) akizungumza na wafanyakazi na familia zao katika sherehe za Siku ya Wanafamilia ya benki hiyo jijini Dar es Salaam juzi. Wengine ni viongozi wa ngazi za juu wa benki hiyo.
Siku Ya Wanafamilia Wa NBC Ilivyofana Jijini Dar es SalaamMkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuruakiwania mpira pamoja na mfanyakazi wa benki...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 00:37
...health seminar.
 
Taking good care of our health has become increasingly important I this day and age of processed food, genetically modified crops and polluted environment.A group of amazing people have arranged a special training on weight management and how you can attain a perfect weight in a health way.Don't post pone having a fit body. Once gone it
Posted On Tuesday, 18 December 2012 00:26
Wizara Ya Nchi Ofisi Ya Rais Yakutana Na Mwenyekiti Wa Baraza La Mapinduzi 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waBaraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wamikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
Wizara Ya Nchi Ofisi Ya Rais Yakutana Na Mwenyekiti Wa Baraza La Mapinduzi 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,...
Posted On Tuesday, 18 December 2012 00:17
Waziri Huviza Atoa Taarifa Hali Ya Mazingira Ya Dar
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mh. Dkt Terezya Huvisa akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Taarifa ya Hali ya Mazingira ya Jiji la Dar es Salaam ambapo amesema katika Mkutano wa Tisa wa Mawaziri wa Mazingira wa Afrika (AMCEN) uliofanyika mjini Kampala Julai 2002, ulibaini kuwa ukosefu wa taarifa za hali ya mazingira katika b...
Posted On Monday, 17 December 2012 22:01

Madhehebu Ya Dini Yaaswa Kusaidia Wasiojiweza

 Katibu VICOBA kanisa KKKT, Usharika Amani, Singida mjini Mwl Anna Abdalah akikabidhi mafuta ya kula, ikiwa ni sehemu ya msaada

Madhehebu Ya Dini Yaaswa Kusaidia Wasiojiweza

 Mwenyekiti wa VICOBA Kanisa la KKKT Amani, Singida mjini, Happy Francis akikabidhi sehemu ya msaada

Madhehebu Ya Dini Yaaswa Kusaidia Wasiojiweza

Mchungaji Shadrack Langu (katikati), wa kanisa la KKKT Amani akiwa na baadhi ya watoto na kikundi cha VICOBA...

Posted On Monday, 17 December 2012 21:55
Magufuli Apeleka Bomoabomoa Morocco

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ameitaka Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), kuanza kuvunja nyumba zilizopo ndani ya hifadhi ya Barabara ya Mwenge hadi Morocco, Dar es Salaam ili kupisha ujenzi wa barabara nne za lami.

Pia, ameitaka Tanroads kuacha kigugumizi katika ujenzi wa barabara za juu jijini Dar es Salaam (flyovers) kwa kuwa
...
Posted On Monday, 17 December 2012 19:12

Waziri Mkuu Akagua Mradi Wa Umwagiliaji Ugalla 

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ametembelea mradi wa umwagiliaji wa Ugalla na kusifu juhudi za wananchi wa kata hiyo katika wilaya mpya ya Mlele mkoani Katavi.

 

Alikuwa akizungumza na wakazi wa kijiji cha Ugalla kata ya Ugalla mara baada ya  kukagua mradi huo akiwa katika siku ya nne ya ziara yake jimboni kwake Katavi wilayani Mlele,...

Posted On Monday, 17 December 2012 18:58

Hafla Ya Uzinduzi Wa Bodi Ya Mfuko Wa Barabara Na Bodi Ya Wakala Wa Barabara 

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea wakati  akizindua  Bodi ya Mfuko wa Barabara na Bodi ya Wakala wa Barabara (TANROADS) Dec 17,12,2012 jijini dar es Salaam

Hafla Ya Uzinduzi Wa Bodi Ya Mfuko Wa Barabara Na Bodi Ya Wakala Wa Barabara 

Katibu Mkuu wa Uchukuzi na Mjumbe wa Bodi yaMfuko wa Barabara aliemaliza muda wake Mhandisi Omar Chambo akishukuru

Hafla Ya Uzinduzi Wa Bodi Ya Mfuko Wa Barabara Na Bodi Ya Wakala Wa Barabara

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara...

Posted On Monday, 17 December 2012 18:47

Massaburi Afurahishwa Na Dar Metro Gazeti Jipya La Matangazo 

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi (kushoto) akikabidhiwa gazeti jipya la Dar Metro na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited inayochapisha gazeti hilo, Juma Pinto (kulia), ofisini kwake Karimjee, Dar es Salaam leo. Gazeti hilo maalumu kwa matangazo linalotolewa mara mbili kwa mwezi, hugawiwa bure

...

Posted On Monday, 17 December 2012 18:34

JESHI la Polisi mkoani Mbeya limemfukuza kazi askari wake Enock Daffa (22) kwa tuhuma za kufanya  mapenzi na mtuhumiwa wa kike mwenye umri wa miaka 25 katika Kituo cha Polisi cha Mji mdogo wa Tunduma, Wilaya ya Momba, mkoani hapa.

Posted On Thursday, 29 November 2012 16:30

Waziri mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi amefariki duniani akiwa na umri wa miaka 57. Kituo cha televisheni cha serikali kimetoa taarifa hiyo baada ya kuwepo wiki kadhaa za wasiwasi kuhusiana na afya yake.  Zenawi alilazwa hospitali mwezi uliopita ambapo ugonjwa uliokuwa

Posted On Thursday, 29 November 2012 16:28

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande amejitoa kusikiliza rufaa ya kesi ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, badala yake nafasi yake imechukuliwa na Jaji Bernard Luanda.

Posted On Thursday, 29 November 2012 16:27

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu