We have 227 guests and no members online

media

Idadi ndogo ya wapiga kura waliojitokeza kupiga kura katika eneo bunge la Kibra jijini Nairobi Oktoba 26 2017

Posted On Thursday, 26 October 2017 06:21

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Executive Solutions Ltd, Aggrey Marealle akitambulisha meza kuu wakati wa sherehe za uzinduzi wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2018 jijini Dar es Salaam. Alishukuru pia wadhamini wengine ambao ni Tigo-21km, Grand Malt 5km na wale wa meza za maji ambao ni pamoja na First National Bank, Kilimanjaro Water, Diamond Motors Ltd, Kibo Palace, KK Security, Keys Hotel, TPC Sugar, Simba Cement na KNAUF Gypsum. Mkurugenzi wa Masoko wa TBL Group, Thomas Kamphuis alisema wanajivunia kudhamini mbio za 16 za Kilimanjaro Premium Lager Marathon ambazo zinakuwa kwa kasi kubwa mwaka hadi mwakana hii inawapa moyo na ari ya kuendelea kuwa wadhamini. Alisema udhamini huu katika mbio za kilometa 42 na 5 kupitia Grand Malt, pamoja na mambo mengine unalenga kuibua vipaji zaidi katika riadha na kuwataka washiriki kujiandaa vizuri. “Inabidi tujiamini zaidi kwani siku moja wimbo wa Taifa wa Tanzania utapigwa katika mbio maarufu duniani,” alisema.

Posted On Wednesday, 25 October 2017 14:28

Mkuu wa Mkoa Wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo ,wa pili kushoto ,katibu tawala wilaya ya Kibaha Sozi Ngate wa kwanza kulia ,pamoja na mwenyekiti wa halmashauri ya Mji wa Kibaha ,Leonard Mloe wa pili kutoka kulia ,wakiwa wameshika tuzo ya kuwa wa kwanza katika ufungaji wa mahesabu ya serikali kati ya halmashauri zote nchini mwaka 2014/2015  iliyopatiwa halmashauri hiyo

Picha na Mwamvua Mwinyi

Posted On Wednesday, 25 October 2017 14:24

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Posted On Wednesday, 25 October 2017 14:19

Binagi Media Group

Shirika la kutetea haki za wasichana na wanawake, Hakizetu lililopo Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, limezindua mradi ujulikanao kama “Kila Mtu Aishi Vyema Kuanzia Sasa” awamu ya pili (Living Better Today Project  phase II), lengo ikiwa ni kutokomeza ukatili katika jamii.

Posted On Wednesday, 25 October 2017 14:16

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Kazi, Ajira,Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama (katikati) akifurahia kitendo cha Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Uuzaji Mafuta ya Puma, Philippe Corsaletti (kushoto) akibadilishana hati za mkataba  wa hiari uboreshaji hali bora za Wafanyakazi wa kampuni hiyo na Mkuu wa  Kitengo cha Biashara cha TUICO, Jonathan Peres wakati wa hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Puma, Dar es Salaam leo.

Posted On Wednesday, 25 October 2017 10:12

Image result for TASAF tabora

NA TIGANYA VINCENT-RS-TABORA

JUMLA ya shilingi bilioni 20 zimetolewa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) kwa walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini katika Halmashhauri zote za Tabora kwa ajili kunusuru kaya maskini katika eneo hilo.

Posted On Wednesday, 25 October 2017 10:06

Posted On Wednesday, 25 October 2017 10:04

 Katibu tawala wa wilaya ya Iringa Joseph Chintinka akiwa kwenye mkutano mkuu wa chama cha walimu Tanzania (CWT) wilaya ya Iringa manispaa akizungumza na baadhi ya walimu walihudhuria mkutano huo. 

Posted On Wednesday, 25 October 2017 10:01

Askofu wa jimbo la mbinga ASKOFU JOHN NDIMBO leo ameongoza mapokezi ya kuupokea mwili wa hayati askofu CASTOR MSEMWA aliyefarika dunia tarehe 19.10.2017 saa saba mchana ana amzishi yake yatafanika hapo kesho katika jimbo la MASASI TUNDURU mkaoni RUVUMA ,Akofu CASTOR MSEMWA ALIZALIWA TAREHE 13.02.1955 katika kijiji cha KITULIRA WIALAYANI NJOMBE .

Posted On Wednesday, 25 October 2017 09:59
Page 18 of 1630

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi