We have 89 guests and no members online

Ikiwa ni siku ya pili ya mkutano wa wadau wa elimu nchini kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya elimu wajumbe wameendelea kuibua changamoto anuai huku wakiiomba Serikali kukubali sehemu ya mapendekezo hayo ili kuboresha elimu.

Posted On Thursday, 16 November 2017 05:34

Klabu ya Rotary ya Oysterbay Dar es Salaam inatarajia kutoa huduma ya matibabu ya bure kwa wakazi wa Kerege wilayani Bagamoyo mkoani Pwani siku ya jumapili ya tarehe 19.2017.Kambi hiyo ya siku moja itatoa vipimo vya afya, ushauri, matibabu na huduma mbalimbali za meno, macho, malaria, usafi wa mwili, minyoo, masikio, pua na koo (ENT), pamoja na magonjwa ya ngozi na kwa mara ya kwanza itaendesha vipimo vya kansa ya shingo ya uzazi

Posted On Thursday, 16 November 2017 05:33

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto imefanikiwa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kwa asilimia 90 kupitia mpango wa kudhibiti magonjwa hayo hapa nchini NTD.

Posted On Thursday, 16 November 2017 05:29

media

Upinzani hafifu wajitokeza katika jeshi la Zimbabwe

Posted On Thursday, 16 November 2017 05:27

Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Tume ya Taifa yakudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imedhamiria kuendelea kuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge inashughulikia Ukimwi ili iweze kushiriki vyema katika mapambano dhidi ya Ukimwi.

Posted On Wednesday, 15 November 2017 08:26

Serikali imezitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutumia malighafi zinazopatikana katika nchi hizo kwa ajili ya viwanda badala ya kuagiza nje.

Posted On Wednesday, 15 November 2017 08:24

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo amefungua mkutano wa 9 kwa wadau wa sekta ya elimu nchini ulioandaliwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT) ukiwa na lengo la kuangalia ubora na usawa wa elimu maeneo yote. 

Posted On Wednesday, 15 November 2017 08:23

Posted On Wednesday, 15 November 2017 08:22

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage (Mb) akimsikiliza kwa makini mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Bi, Anna Masenza.

Posted On Wednesday, 15 November 2017 08:17

Posted On Wednesday, 15 November 2017 08:14

media

Eneo la linalotenganisha Korea Kaskazini na Korea Kusini (DMZ) , (hapa ni upande wa Korea Kusini).

Posted On Tuesday, 14 November 2017 05:30
Page 3 of 1624

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu