We have 134 guests and no members online

IMG_7292

Wakazi wa Kijiji cha Itonya wakiwa wamekusanyika kwenye kituo cha Usajili kilichopo Wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa. Mbali na kujaza fomu za maombi ya Vitambulisho wakazi hao pia wanachukuliwa alama alama za vidole, picha na saini ya kielektroniki.

Posted On Friday, 15 September 2017 06:54

1

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisisitiza jambo wakati akiwasilisha muswada wa sheria ya madaktari, madaktari wa meno na wataalamu wa Afya shirikikishi (The medical, Dental and Allied Heath Professional)  leo Bungeni mjini Dodoma.

Posted On Friday, 15 September 2017 06:44

IMGL4073

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia Vitu vilivyo tengenezwa na kituo cha Madini.Wakati alipo fika kwa ajili ya Ufunguzi wa Mkutano wa 37 wa Baraza la Uongozi wa Kituo cha Madini na Jiosayansi cha Afrika(AMGC) uliofanyika leo Septemba 14/2017 Mkoani Dar es salaam kulia kwake ni Naibu wa Nishati na Madini DR Kaliman .

Picha na Ofisi y Waziri Mkuu

Posted On Friday, 15 September 2017 06:41

PMO_7796

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMA

Serikali imeahidi kuendelea kushirikiana na kujenga mahusiano mazuri na Washirika wa Maendeleo ili kuwezesha kufanikisha azma ya kushirikiana katika kuleta maendeleo nchini.

Posted On Friday, 15 September 2017 06:41

LAW1

Na Mary Gwera, MAHAKAMA

Mahakama ya Tanzania inao wajibu wa kutekeleza jukumu la utoaji haki kwa wananchi kwa wakati. ‘Kwa mujibu wa Kifungu na. 107(A) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mamlaka ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa Mahakama. Na kazi kubwa ya Mahakama kama mhimili ni kutafsiri sheria zilizotungwa na Bunge.’

Posted On Friday, 15 September 2017 06:34

media

Katika Seoul mnamo Septemba 15, 2017, mbele ya televisheni ikitangaza jaribio jipya la kombora la Korea Kaskazini lililorushwa kupitia anga ya Japan.Katika Seoul mnamo Septemba 15, 2017, mbele ya televisheni ikitangaza jaribio jipya la kombora la Korea Kaskazini lililorushwa kupitia anga ya Japan.

Posted On Friday, 15 September 2017 06:24

Trump na wanachama wa Democrats nancy Pelosi na Chuck Schumer

Trump na wanachama wa Democrats nancy Pelosi na Chuck Schumer

Posted On Thursday, 14 September 2017 10:17

01

Makamu wa Rais wa Hospitali ya Watoto ya Hunan nchini China akizungumza na washiriki wa mafunzo ya siku 10 ya Madaktari na wauguzi wanaoshughulikia watoto katika Hospitali ya Kivunge, Makunduchi na Mnazimmoja mafunzo yanayofanyika Mnazimmoja Mjini Zanzibar.

Posted On Thursday, 14 September 2017 10:15

Posted On Thursday, 14 September 2017 10:09

Posted On Thursday, 14 September 2017 10:08

Taarifa kwa waandishi wa habari

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Kajubi D. Mukajanga (Katikati) akifafanua jambo.

Posted On Thursday, 14 September 2017 10:03
Page 4 of 1596

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Maji