We have 180 guests and no members online

Je nini maoni yako kuhusu Rasimu ya Katiba?

Posted On Saturday, 27 July 2013 21:00 Written by
Rate this item
(0 votes)

Ndugu Zangu, Katiba hii ni mali yetu sote, kwani ni katiba hii ndiyo itakayoongoza taifa letu kwa miaka mingi ijayo, hivyo ubora wake ni muhimu kwa maendeleo na ustawi wa Taifa taifa letu la Tanzania.

 

Hivyo basi, shiriki katika kujadili rasimu ya katiba kama tulivyoiambatanisha.

Read 3463 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Maji