We have 188 guests and no members online

Lukeman Na Karrima Carter Kwenye Shughuli Ya Kijamii Kuhusiana Na Tanzania...

Posted On Thursday, 29 November 2012 14:44 Written by
Rate this item
(0 votes)

Pichani mtoto Lukeman Carter na mama yake Karrima Carter wakiwa na Kattie Large (kulia) kwenye mazungumzo kuhusiana na kazi za hisani zenye kulenga kuisaidia jam ii ya Watanzania hususan wananchi wa Mahango, Madibira, Mbarali, Mbeya ambako mtoto Lukeman Carter alishiriki kuanzisha wazo la kusaidia kujenga maktaba ya kijamii ya kuwasaidia watoto na watu wazima. Kwa sasa mfuko huo wa hisani umeshakusanya fedha kuweza kujenga visima viwili vya maji kwa watu wa Mahango. Kazi Njema.

Read 2265 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi