We have 343 guests and no members online

Hafla Ya Uzinduzi Wa Bodi Ya Mfuko Wa Barabara Na Bodi Ya Wakala Wa Barabara

Posted On Monday, 17 December 2012 18:47 Written by Super User
Rate this item
(0 votes)

Hafla Ya Uzinduzi Wa Bodi Ya Mfuko Wa Barabara Na Bodi Ya Wakala Wa Barabara 

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea wakati  akizindua  Bodi ya Mfuko wa Barabara na Bodi ya Wakala wa Barabara (TANROADS) Dec 17,12,2012 jijini dar es Salaam

Katibu Mkuu wa Uchukuzi na Mjumbe wa Bodi yaMfuko wa Barabara aliemaliza muda wake Mhandisi Omar Chambo akishukuru

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara...

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Dr, James Wanyancha akizungumza wakati wa  hafla ya uzinduzi wa Bodi ya mfuko wa Barabara na Bodi ya Wakala wa Bararabra (TANROADS) jijini Dar es salaam , Dec, 17, 2012.

Hafla Ya Uzinduzi Wa Bodi Ya Mfuko Wa Barabara Na Bodi Ya Wakala Wa Barabara 

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kulia) akimpa zawadi Mjumbe wa Bodi ya mfuko wa Barabara aliemaliza muda wake kwa mujibu wa sheria za Bodi Mhandisi Omar Chambo (kushoto) ,Waziri Magufuli amemshukuru Mhandisi Omar Chambo. ambae pia  ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi pamoja na wajumbe wengine waliomaliza muda wao kwa mchango mkubwa walioutoa katika mfukona kuleta ufanisi

Hafla Ya Uzinduzi Wa Bodi Ya Mfuko Wa Barabara Na Bodi Ya Wakala Wa Barabara 

Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa Bodi hizo Dec,17, 2012 jijini Dar es salaam , ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (hayupo pichani)

Hafla Ya Uzinduzi Wa Bodi Ya Mfuko Wa Barabara Na Bodi Ya Wakala Wa Barabara 

Bodi ya Wakala wa Barabra (TANRROADS) (chinin ya mwenyekiti Hawa Mmanga ( waliokaa mwanamke)

Hafla Ya Uzinduzi Wa Bodi Ya Mfuko Wa Barabara Na Bodi Ya Wakala Wa Barabara 

Bodi ya Mfuko wa Mfuko wa Barabara chini ya mwenyekiti wake Dkt. James Wanyancha walioka (mbele kutoka kushoto)

              Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

Read more http://www.mjengwablog.com/2012/12/hafla-ya-uzinduzi-wa-bodi-ya-mfuko-wa.html

Read 1475 times

Add comment

Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu