We have 345 guests and no members online

Massaburi Afurahishwa Na Dar Metro Gazeti Jipya La Matangazo

Posted On Monday, 17 December 2012 18:34 Written by Super User
Rate this item
(0 votes)

Massaburi Afurahishwa Na Dar Metro Gazeti Jipya La Matangazo 

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi (kushoto) akikabidhiwa gazeti jipya la Dar Metro na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited inayochapisha gazeti hilo, Juma Pinto (kulia), ofisini kwake Karimjee, Dar es Salaam leo. Gazeti hilo maalumu kwa matangazo linalotolewa mara mbili kwa mwezi, hugawiwa bure

...

Massaburi Afurahishwa Na Dar Metro Gazeti Jipya La Matangazo 
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi (kushoto) akikabidhiwa gazeti jipya la Dar Metro na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited inayochapisha gazeti hilo, Juma Pinto (kulia), ofisini kwake Karimjee, Dar es Salaam leo. Gazeti hilo maalumu kwa matangazo linalotolewa mara mbili kwa mwezi, hugawiwa bure kwa wasomaji. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Massaburi Afurahishwa Na Dar Metro Gazeti Jipya La Matangazo 
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi (kushoto) akisoma gazeti jipya la Dar Metro alilopelekewa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited inayochapisha gazeti hilo, Juma Pinto (kulia), ofisini kwake Karimjee, Dar es Salaam leo. Gazeti hilo maalumu kwa matangazo linalotolewa mara mbili kwa mwezi, hugawiwa bure kwa wasomaji.Kampuni hiyo huchapisha pia magazeti ya Jambo Leo, jarida la Jambo Brand Tanzania na Staa Spoti.
Massaburi Afurahishwa Na Dar Metro Gazeti Jipya La Matangazo 
Massaburi akilipitia vizuri gazeti hilo litakalokuwa linaandikwa kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza.
Massaburi Afurahishwa Na Dar Metro Gazeti Jipya La Matangazo 
Pinto akizungumza na Massaburi

Read more http://www.mjengwablog.com/2012/12/massaburi-afurahishwa-na-dar-metro.html

Read 1585 times

Add comment

Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu