We have 341 guests and no members online

Dkt.Shein Arejea Toka Vietnam

Posted On Thursday, 29 November 2012 14:49 Written by
Rate this item
(0 votes)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akivishwa Shada la Mauwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Abeid Karume Zanzibar akitokea Vyetnam kwa ziara ya siku Nne.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akijibu maswali mbalimbali alioulizwa na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara yake ya Vyetnam iliochukua muda wa Siku Nne.hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Karume Zanzibar

PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.

Read 1716 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu