We have 195 guests and no members online

Tumetoka Mbali: Mzee Mwinyi Na Wanahabari 1991!

Posted On Thursday, 18 May 2017 07:27 Written by
Rate this item
(0 votes)

Picha ya Maggid Mjengwa

Ndugu zangu,

Kwenye maktaba yangu nina habari ifuatayo iliyoandikwa kwenye Daily News, Februari 24, 1991.

Iliripotiwa, kuwa Rais Ali Hassan Mwinyi alikutana na wawakilishi wa Chama Cha Waandishi wa Habari kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazoikabili tasnia ya habari.

Rais Mwinyi akasema , kuanzishwa kwa magazeti binafsi ilikuwa ni ishara njema na kwamba magazeti binafsi yanachangia kwenye kukua kwa uelewa na hamu ya kusoma.
( Daily News, February 24, 1991

Naam. Tumetoka Mbali...

Maggid,

Read 77 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana