We have 159 guests and no members online

Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete agawa vifaa vya michezo kwa timu za jimbo hilo

Posted On Saturday, 12 August 2017 05:32 Written by
Rate this item
(0 votes)

ch1

Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete leo amegawa vifaa vya michezo kwa timu za jimbo la Chalinze zinazoshiriki mashindano ya kombe la Mazingira linaloshirikisha timu za wilaya ya Bagamoyo. Hapa picha mbalimbali zikionyesha Mbunge huyo akigawa vifaa vya michezo kwa viongozi mbalimbali wa vilabu vya mpira katika jimbo hilo.

ch2ch3ch4ch5ch6

Read 60 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli