We have 219 guests and no members online

Mayai Ya Kuku Wa Asili Haya...!

Posted On Sunday, 03 September 2017 07:02 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image may contain: 1 person, standing and outdoorNiliyakuta juzi njiani. Ni katikati ya Igawa na Makambako. Tray nzima kwa elfu kumi na tatu. Nimependa packging yao. Ni ya ubunifu mkubwa. Nimefika nyumbani hakuna hata yai moja lililovunjika.
Nilimwonea huruma tu na jua kali la mchana. Hakuwa na cha kumfunika kumsitiri na jua.

Maggid, 
Iringa.

Read 71 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu