We have 170 guests and no members online

Bongo Hapo Zamani: Hawa Ni Wajumbe Wanawake Wa Halmashauri Kuu CCM Enzi Hizo.

Posted On Tuesday, 05 September 2017 15:10 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image may contain: 6 people, people smilingSwali; Ukiwaacha Anna Abdallah ( wa tatu kutoka kushoto), Therezia Makono ( wa nne kutoka kushoto) na Getrude Mongela ( wa kwanza kulia). Wajumbe wanne waliobaki ni akina nani? 
Atakayetaja majina mawili tu na walipo pichani ana zawadi ya mwenyekiti. Na majina yaliyobaki nitawasaidia kujibu.

Maggid

 
 
Read 57 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Maji