We have 193 guests and no members online

KAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAJA VINGINE KWA WATEJA WAKE YAWALETEA ‘SHINDA TECNO SPARK MTAANI KWAKO’

Posted On Thursday, 07 September 2017 05:16 Written by
Rate this item
(0 votes)

IMG_0300

Kampuni ya simu ya TECNO imekuja kivingine kwa kuwaletea wateja wake na wanatanzania kwa ujumla burudani ya SPARK katika mitaa mbalimbali ya majiji yanayopatikana nchini Tanzania.

Mikoa ya Dar es salaam, Morogoro na Tanga imekua ya kwanza kushuhudia michezo mbalimbali ya kuvutia inayoletwa na TECNO katika mitaa mbalimbali ya mikoa hiyo ikiwa na madhumuni makubwa ya kuwapa burudani wateja wao na kuitambulisha simu mpya kabisa ya TECNO SPARK.

IMG_9743

Watoa burudani hao wa TECNO wanapita katika mitaa mbalimbali ikiwemo kihonda, kichangani, msamvu katika mkoa wa morogoro huku maeneo kama mabanda ya papa, magomeni, muheza, pongwe na korogwe mkoani Tanga yakiwa katika mtiririko wa kutembelewa na burudani hizo kabambe kutokea TECNO

IMG_8373

TECNO inawapa nafasi wanatanzania wote popote walipo wanachotakiwa kufanya endapo wataliona basi la kampuni ya TECNO likiwa limeandikwa TECNO SPARK, wajiunge popote pale ambako burudani zitakua zinatolewa katika mitaa yao hivyo wataweza kujishindia zawadi za aina mbalimbali ikiwemo simu mpya kabisa ya TECNO SPARK..

TECNO SPARK  ni moja kati ya matolewa bora mapya ya simu kutokea TECNO yanayofanya vizur sokoni kwa kupendwa watanzania wengi kutokana na sifa zake kwani ina kamera nzuri ya 13mp nyuma , pia inateknolojia ya usalama wa vidole huku umbo lake likiwa ni kuvutio kikubwa katika macho pale ambako mtumiajia na kuaameishika mkononi. Kioo chakeni 5.5 inchi, 16 gbza kuweka vitundani pamoja na 2 gb ram.

IMG_8501

Buruduni hizi za TECNO zitakua na kilele chake katika ukumbi wa burudani wa club Rock bottom mkoani Mwanza,ambapo wapenzi kampuni ya TECNO Mobile watatangazwa walioweza kujishindia zawadi mbalimbali ikiwemo simu mpya ya SPARK.

Bado hujachelewa mkoani Morogoro, Tanga, Arusha, Manyara pamoja Mwanza unaweza kupiga picha endapo utalion basi la TECNO SPARK au burudani katika mtaa wako alafu weka katika mitandao yako ya kijamii aidha Facebook, twitter au Instagram ukiandika #vimba na spark ili uweze kujishindia zawadi kemkemkutokea TECNO

Read 60 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi