We have 73 guests and no members online

Bongo Hapo Zamani: Mshindi Wa Swali Ni Shangazi Ya Mwenyekiti Wenu, Hawa Mniga...!

Posted On Sunday, 10 September 2017 16:33 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image may contain: 1 person, smiling, closeup

 

Ndugu zangu,

Kwa ushindi huo wa mke wa mjomba wangu hata aje Jecha, matokeo hayafutwi!

Pichani wabunge wawili kama alivyowataja Hawa Mniga ( Pichani kulia) ni Kingunge Ngombale Mwiru aliyekaa kushoto akifuatiwa na Gibbons Mwaikambo mwenye miwani.

Hongera Sana Shangazi yangu Hawa Mniga!

Maggid.

Read 34 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu