We have 165 guests and no members online

Bongo Hapo Zamani: Salma Na Gunnar Wamejibu Kwa Usahihi...!

Posted On Sunday, 10 September 2017 19:04 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image may contain: one or more people

Image may contain: 1 person, smiling, closeup

Image may contain: 1 person, smiling

 

Ndugu zangu,

Lilikuwa swali gumu inavyoonekana. Hata hivyo, Salma Ali Hassan ( Pichani katikati) yeye amemtambua Balozi Ramia, huyu alikuwa Balozi wetu Sweden miaka ya 90, na Gunnar Kraft yeye amemtambua Mama Babro Johannson, huyu mama aliwahi kuwa Balozi wetu Sweden na aliwahi kuwa Mbunge wa TANU akiwakilisha Mwanza katika Bunge la Kwanza la Tanganyika.

Hongera sana Salma na Gunnar!

Maggid.

Read 63 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Maji