We have 363 guests and no members online

Bongo Hapo Zamani: Mshindi Wa Swali La Mwenyekiti Ni Mwelupungwi Senior..!

Posted On Monday, 11 September 2017 03:25 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image may contain: 1 person, shorts

Image may contain: 1 person, closeup and outdoor

 

Ndugu zangu,

Mwelupungwi ndiye wa kwanza kujibu kwa usahihi. Pichani ni Suleiman Nyambui. Aliiletea nchi yetu Medali ya Fedha kwenye Olimpiki ya 1980 kule Urusi. Ni mbio za ndani mita 5000.

Hongera sana Mwelupungwi Senior!

Maggid.

Read 53 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu