We have 362 guests and no members online

Acacia Avenue Ya 1950 Na Samora Avenue Ya 1989.. Na Samora Avenue Ya Jana Jioni...!

Posted On Monday, 11 September 2017 05:39 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image may contain: sky, tree and outdoor

Image may contain: sky and outdoor

Image may contain: tree, car and outdoor

 

Hiyo ya 1989 nimeipiga mimi Mwenyekiti wenu, na ya jana jioni. Ukweli hiyo ni Dar Es Salaam iliyopendeza sana.

Nimepata kuandika, kuwa sijui nani ameturoga, wamekuja watu na kuyaboboa majengo haya ya thamani yaliyohitaji kukarabatiwa tu.

Yamejengwa sasa maghorofa yasio na ladha machoni. Ilipaswa kuwepo na Old Dar Es Salaam na New Dar Es Salaam. Si wangeenda Kibaha wakajenge maghorofa yao.

Jana jioni nilifurahi kuona jengo hilo la kushoto, Acacia Building bado lipo kama miaka hiyo, na maandishi yake juu.

Mbele hapo ni makutano ya Samora na Morogoro Road.

Maggid Mjengwa.

Read 51 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu