We have 187 guests and no members online

Unamkumbuka Ndyanao Balisidya?

Posted On Monday, 11 September 2017 05:43 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image may contain: one or more peopleNdugu zangu,

Kuna tuliomsoma Ndyanao Balisidya tukiwa shuleni.

Shida ni moja ya kazi bora za fasihi nilizopata kuzisoma. Kitabu hiki nimekihifadhi kwenye maktaba yangu. Kiliandikwa mwaka 1974.

Mwandishi anaelezea mgogoro wa vijana kutoka vijijini kwenda mijini. Mhusika mkuu ni Chonya. Alitoka kwao kijijini Chilonwa kuja Mjini Dar na kujiita Sefu...

Je, kuna mnaomkumbuka Chonya?

Maggid Mjengwa.

Read 64 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu