We have 187 guests and no members online

Siku Nilipomwendesha Kwenye Kifaru Changu, Mwakilishi Wa Balozi Wa Finland Nchini...

Posted On Monday, 11 September 2017 06:04 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image may contain: 3 people, people sittingAlifanya ziara Iringa, akafika mpaka kibaruani kwa mwenyekiti wenu. Na siku ya kurudi Dar nilimwendesha kuelekea uwanja wetu wa Nduli ' International' Airport. Kilomita 25 kutoka Iringa Mjini.
Na mwakilishi wa Balozi akapewa usindikizo wa Kidplomasia. Divisheni nzima ya makamanda wangu ilijitokeza kumsindikiza mpaka uwanjani! 

Ilikuwa ni mwezi Novemba, 2014.

Maggid,

Read 56 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu