We have 190 guests and no members online

Jana Nimekutana Na Mjumbe Wangu Issa Kihiga..

Posted On Tuesday, 12 September 2017 03:03 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image may contain: 2 people, people smiling, people standingAlinitambua na kunisimamisha Mtaa wa Samora, Dar.
Kihiga amekuwa mjumbe wangu tangu 2008 akiwa Moscow, Urusi.
Enzi hizo kupitia Gozi Spoti Kihiga aliandika simulizi alipokutana na wachezaji wa Chelsea hotelini kwao Moscow. Kihiga alikuwa na mwanafunzi mwenzake aliyekuwa ndugu wa Michael Essien. Mchezaji huyo aliwaalika hotelini na Kihiga na mwenzake raia wa Ghana na ndugu wa Essien walikuwa na wakati mzuri na kikosi kizima cha Chelsea.
Simulizi zile za Kihiga ziliwavutia wasomaji wengi.
Maggid.

Read 60 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu