We have 190 guests and no members online

TRA YATOA SOMO LA KODI KWA WASHEREHESHAJI

Posted On Tuesday, 12 September 2017 04:58 Written by
Rate this item
(0 votes)

Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akikata keki kuashiria uzinduzi wa Chama cha washereheshaji  (WSB) ‘Wakali wa sherehe Bongo’ jijini Dar es Salaam  leo. Kutoka (kushoto) ni Moafisa wakuu wa Elimu kwa mlipa Kodi, Rose Mahendeka na Julius Mjenga, Mwenyekiti wa WSB, Lameck Matemba na Katibu wa chama hicho, Reuben Ndimbo. (Imeandaliwa na Robert okanda Blogspot) 

Mwenyekiti wa WSB, Lameck Matemba akiongea wakati wa uzinduzi huo. 

 Afisa Mkuu wa Elimu kwa mlipa Kodi, Julius Mjenga akitoa mada kwa wana WSB.

 

Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akimpa za wadi ya diary Mwenyekiti wa WSB, Lameck Matemba 

Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akiwa katika picha ya pamoja na wana  WSB na wageni wao.

Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa WSB.

Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo

Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akitoa elimu kwa wanachama wa WSB. 

Read 54 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi