We have 189 guests and no members online

AZANIA BANK YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAHANDISI NCHINI TANZANIA

Posted On Tuesday, 12 September 2017 04:59 Written by
Rate this item
(0 votes)

IMG-20170908-WA003

Timu  ya Azania Bank Ltd, ikiongozwa na Ndugu Jackson Lohay, Meneja Mwandamizi Kitengo cha wateja binafsi imeweza kushiriki kwa ufanisi katika mkutano mkuu wa Mwaka wa Wahandisi nchini Tanzania, uliofanyika mjini Dodoma tar 7-8 mwaka huu. Waliweza kutoa maelezo mbalimbali kuhusiana na benki ya Azania, pia mazao mballimbali na huduma zote zitolewazo na benk hiyo. Na pia kuwakaribisha wahandisi hao kwenye matawi yao yaliyopo sehemu mbalimbali ndani ya Tanzania.

IMG-20170910-WA077Photo 1 erb DOMphoto 4 erb DomPHOTO5 ERB Dom

Read 51 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi