We have 182 guests and no members online

Dkt. Mwakyembe Azindua Tuzo za Filamu za SZIFF

Posted On Wednesday, 11 October 2017 03:34 Written by
Rate this item
(0 votes)

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF) jana jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zinaratibiwa na Azam Media zinatarajiwa kutolewa mwakani mwezi April ambapo zitashirikisha filamu za Kiswahili. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media Tido Mhando na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akifurahia jambo na Balozi wa Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF) Bi. Elizabeth Michael alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa tuzo hizo jana jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zinaratibiwa na Azam Media zinatarajiwa kutolewa mwakani mwezi April ambapo zitashirikisha filamu za Kiswahili.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akipongezana na Mtendaji Mkuu wa Azam Media Tido Mhando mara baada ya kuzindua rasmi Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF) jana jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zinaratibiwa na Azam Media zinatarajiwa kutolewa mwakani mwezi April ambapo zitashirikisha filamu za Kiswahili.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akifurahia jambo na Msanii wa Bongo movie Jackline Wolper walipokutana katika hafla ya uzinduzi wa Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF) jana jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zinaratibiwa na Azam Media zinatarajiwa kutolewa mwakani mwezi April ambapo zitashirikisha filamu za Kiswahili. Katikati ni Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFFA) Simon Mwakifamba.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akifurahia jambo na Mratibu wa Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF) Bi. Zamaradi Nzowa wakati wa hafla ya uzinduzi wa tuzo hizo jana jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zinaratibiwa na Azam Media zinatarajiwa kutolewa mwakani mwezi April ambapo zitashirikisha filamu za Kiswahili. Katikati ni Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFFA) Simon Mwakifamba.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya baadhi ya wasanii akiwemo Hemed a.k.a PhD na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFFA) Simon Mwakifamba (kulia), kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF) jana jijini Dar es Salaam.

Picha na: Frank Shija – MAELEZO

Read 79 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli