We have 201 guests and no members online

MITAMBO YA KUZALISHA UMEME (SYSTEM TURBINE, NO 2) YAWASILI KINYEREZI II

Posted On Saturday, 04 November 2017 06:45 Written by
Rate this item
(0 votes)

Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) kwa ajili ya mradi wa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi II iliingia nchini kupitia Bandarini Oktoba 16, 2017 na jana Novemba 03, 2017 imetolewa Bandarini na inaelekea kituo cha kuzalisha umeme kwa gesi Kinyerezi II (MW 240) Jijini Dare es Salaam. Mradi huu wa Kinyerezi II uliwekwa jiwe la msingi na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli achi 16, 2016. Mradi unatarajiwa kukamilika Septemba 2018.

Read 85 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart