We have 203 guests and no members online

ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA

Posted On Monday, 06 November 2017 05:54 Written by
Rate this item
(0 votes)

 Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Alex Malasusa  akiongoza  Maelfu ya Waumini wa KKKT wa Dayosisi hiyo katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa,iliyofanyika jana Uwanja wa Taifa,jijini Dar.Naibu Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Mission na Uinjilisti Mchungaji, Boniface Kombo akiongoza Lutrijia wakati wa Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa.

 Mchungaji Lewis Hiza akisoma somo la pili wakati wa Ibada ya Miaka 500 ya Matengezo ya Kanisa la KKKT iliyoadhimishwa na Dayosisi ya Mashariki  na Pwani katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

 Mchungaji Muke Najua  kutoka nchini Afrika kusini akitoa mahubiri wakati  Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa hilo iliyofanyika  Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

 Kundi la watoto zaidi ya 4000 waliopata Ubarikio wa Kipaimara wakati wa Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa la KKKT Duniani yaliyofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

 Wachungaji mbalimbali wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani wakito ubarikio kwa Vijana wa kanisa hilo amabo wamepata kipaimara leo  katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa.

 Wachungaji mbalimbali wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani wakito ubarikio kwa Vijana wa kanisa hilo amabo wamepata kipaimara leo  katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa.

Waumini wa Kanisa la KKKT wakiwa katika  Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

 Watoto wa Shule ya Jumapili wakiwa katika alaiki   wa Kanisa la KKKT wakiwa katika  Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

 Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Alex Malasusa akiwa katika Maandamano ya kuingia Uwanjani wakati wa Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa

 Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva akiwa wakati wa Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa

 Waziri Mkuu wa Zamani Fredrick Sumaye akiwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam wakati wa ibada ya miaka 500 ya  Matengenezo ya Kanisa

Waumini wa Kanisa la KKKT wakiwa katika  Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Read 155 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart