We have 89 guests and no members online

WAZIRI JAFO-KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA SANA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU

Posted On Sunday, 03 December 2017 13:56 Written by
Rate this item
(0 votes)


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo akizungumza wakati Mahafali ya Shule Mikocheni Islamic ambapo aliwaasa wazazi kuwekeza katika kuwapatia watoto elimu ya Duniani na dini hili waweze kuja kuwa watumishi waadilifu baadae pindi wanapokuja kuwa viongozi wa Umma.


Katibu wa Shule ya Mikocheni Islamic akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo katika mahafali ya shule ya Msingi ya Mikocheni Islamic Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo akikagua Maonesho ya kisayansi ya shule ya Msingi ya Mikocheni Islamic wakati wa mahafali ya Darasa la Saba ya shule hiyo yaliyofanyika jana.


Wanafunzi wa Kike wa Shule ya Msingi ya Mikocheni Islamic wakionesha Umahiri wao wa kuimba Kaswida mbele ya Mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi  ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa kitengo cha Sayansi na walimu wao wa shule ya Msingi Mikocheni Islamic.

Read 72 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart