We have 87 guests and no members online

RAIS MAGUFULI ATETA NA MWAKILISHI MKAZI BENKI YA DUNIA,AENDESHA BARAZA LA MAWAZIRI

Posted On Monday, 04 December 2017 14:12 Written by
Rate this item
(0 votes)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli  mapema  leo Desemba 4,2017, amekutana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya dunia nchini Bi. Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Dk. Magufuli pia ameweza kuendesha  kikao cha Baraza la Mawari  Ikulu hapo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli akiwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya dunia nchini Bi. Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli akiagana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya dunia nchini Bi. Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli akiendesha kikao cha Baraza la Mawari  Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli akiendesha kikao cha Baraza la Mawari  Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2017

Read 76 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart