We have 141 guests and no members online

CCM IRINGA WAPIGA KURA KUCHAGUA UONGOZI MPYA

Posted On Tuesday, 05 December 2017 16:41 Written by
Rate this item
(0 votes)

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa wamepiga kura kuchagua uongozi mpya leo Desemba 5, 2017.

Mjumbe wa NEC Mh. January Makamba akizungumza na kutoa utaratibu wa wagombea na wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa unaofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa leo Chama cha mapinduzi kimekuwa na chaguzi za ngazi mbalimbali kuchagua viongozi watakaokwenda kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano tutawaletea taarifa zaidi kuhusu matokeo ya uchaguzi huo.

 

Read 188 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart