We have 203 guests and no members online

TANZIA:TAARIFA YA KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE

Posted On Tuesday, 26 December 2017 05:43 Written by
Rate this item
(0 votes)

Mayage S.Mayage enzi za uhai wake.

Tunasikitika kuwatangazia kuwa mwenzetu Mayage S Mayage tuliyekuwa tukijichangisha kwa ajili ya matibabu yake, ametutoka

Kwa mujibu mke wa Marehemu,Digna Mayage, mwenzetu amefariki majira ya saa 3 asubuhi, jana Desemba 25, 2017, kwenye hospitali ya Misheni Mbweni alikokuwa amelazwa

Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwake Mbweni.Tutapeana taarifa zaidi kadri tutakapozipata

Bwana alimtoa na sasa ameamua kumtwaa

Jina lake lihimidiwe

Read 48 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli