We have 216 guests and no members online

RAIS MAGUFULI APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI

Posted On Thursday, 04 January 2018 11:23 Written by
Rate this item
(0 votes)

Rais Magufuli amepokea barua kutoka kwa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni iliyowasilishwa na Mjumbe Maalum Sam Kutesa ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda.

Pamoja na kupokea barua hiyo, Rais Magufuli amefanya mazungumzo na Waziri Kutesa kuhusu namna watakavyoimarisha na kukuza uhusiano katika maeneo mbalimbali.

Read 66 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli