We have 214 guests and no members online

PICHA: WAZIRI MPANGO AKUTANA NA GAVANA MTEULE WA BOT, PROF. LUOGA

Posted On Friday, 05 January 2018 06:02 Written by
Rate this item
(0 votes)

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga, akisaini kitabu cha wageni alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiwa katika mazungumzo na Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga, ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango

Read 32 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli