We have 107 guests and no members online

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akiendelea na Ziara Yake UAE

Posted On Thursday, 25 January 2018 06:17 Written by
Rate this item
(0 votes)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu Mfalme Shaikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi, alipofika katika makazi yake akiwa katika ziara ya kutembelea Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE. Kushoto Viongozi wa Juu wa Serikali

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mtukufu Sheikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi Supreme Council Member and Ruler of Sharjah, wakielekea katika chumba cha mkutano baada ya kuwasili katika Makazi yake kwa mazungumzo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Mtukufu Shaikh Sultan Bin Mohammed, Al Qasimi Supreme Council Member and Ruler of Sharjah, wakifurahia jambo wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika jengo la Makaazi ya Mfalme Sharjah.

MTUKUFU Mfalme Shaikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipofika katika makaazi yake Mjini Sharjah,wakati wa ziara yake katika Nchi za Umoja wa Nchi za Mafme za Kiarabu UAE

 Ujumbe walioongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu UAE.  

 

Viongozi wa Juu wa Serikali ya Mfalme wa Sharjah wakiwa katika ukumbi wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Shaikh Sultani Bin Mohammed wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliofanyika katika makaazi yake Nchini Sharjah

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mwenyeji wake Mtukufu Shaikh Sultani Bin Mohammed baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliofanyika katika makaazi ya Mfalme Nchini Sharjah.

Read 39 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart