We have 365 guests and no members online

Bilioni 2 zimetumika kunufaisha kaya maskini wilaya ya Namtumbo.

Posted On Saturday, 27 January 2018 07:53 Written by
Rate this item
(0 votes)

Tokeo la picha la namtumbo

 Sh. Bilioni 2.8 zimetolewa kwa Wanufaika 5,570 wa mfuko wa maendeleo ya hifadhi ya jamii (TASAF) Wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma. Katika taarifa iliyotolewa na Christopher Kilungu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo ilieleza kuwa fedha hizo zimetolewa tangu mradi huo uanze mwezi Julai 2015 hadi Desemba 2017.

Aidha mkurugenzi huyo ameongeza kwa kusema kuwa mradi huo wa kuzisaidia kaya masikini umeleta manufaa makubwa kwa wakazi wa Namtumbo kwani hali ya maisha yao imeanza kuboreka.

Kwa upande wake Raphael Mponda mratibu wa TASAF wilaya ya Namtumbo ameiomba serikali kuviingiza vijiji ambavyo havimo kwenye mpango huo, ili navyo viweze kunufaika.

Read 42 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli