We have 320 guests and no members online

"UNATAKA KUTOA MILIONI 302 KUJENGA BWENI LA WANAFUZI 40?" PROF. NDALICHAKO

Posted On Saturday, 27 January 2018 12:05 Written by
Rate this item
(0 votes)

Picha inayohusiana

Waziri wa Elimu sayansi na teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameshangazwa na ujenzi wa nyumba nne za walimu zinazojengwa chuo cha VETA wilayani Makete mkoani Njombe. Nyumba hizo zinazojengwa na wakala wa majengo Tanzania (TBA)zinagharimu takribani milioni 160 kila moja huku mabweni yenye kubeba wanafunzi 40 yakijengwa kwa shilingi milioni 302.

Hata hivyo Prof. Ndalichako ameshangazwa na gharama hizo ambazo haziendani na nyumba zilizotakiwa kujengwa, na kusema gharama za ujenzi wa bweni la wanafuzi 80 unagharimu shilingi milioni 150. Pia ameshangazwa na kucheleweshwa kwa ujenzi tangu tarehe 10/8/2017 mkataba uliposainiwa.

Read 97 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli